Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Masahihisho : Zitto Junior siyo Zitto KabweWhy linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
Act si 8ko bega kwa bega na ccm?Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
ACT ni sawa na TADEA, TLP, NCCR na tuvyama twingine twa levels hizo, havina impact na wala si threat kwa rulling party hivyo hawaoni umuhimu wa kuwahusisha kwenye lolote unless kama ni program ya kuishambulia CHADEMA hapo wanaweza kushirikishwa.Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
Chadema ndio mwendo twende na Chadema.Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni Ccm na Cdm tu? Act ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
Tatizo la ACT ni malengo yao... Wapo ili kuwakomoa CDM!ACT ni Chama kidogo sana
PhD kabisa.Mkuu ya ngazi gani: ya cheti ama shahada?
Mkuu naona una uhakika na UTAFITI wako kwa asilimia 100. Ebu tuwasubili wenye jicho la tatu.Tatizo la ACT ni malengo yao... Wapo ili kuwakomoa CDM!
Shahada ya uzamivuMkuu ya ngazi gani: ya cheti ama shahada?
Hoja yako nimeipenda lkn mkuu elewa sheria zote zinaundwa na ccm haitawezekana ccm wakubaliane na hoja yako kwa sababu baadhi ya vyama ni msaada kwa ccm vikiondoka ccm nguvu itapunguaWakuu, mimi nadhani tufike mahali tutafute njia bora ya kuwa na Vyama vya Siasa HAI na BORA katika Taifa letu. Kuwepo na Kanuni, 1. "kwamba Chama cha Siasa ili kiendelea kuwa Chama hai ni budi kiwe na Kiongozi/Viongozi wa kuchaguliwa na Wananchi katika UCHAGUZI MKUU, ndani ya Mihimili yetu (Serikali, Bunge na Mhakama). 2. "Chama cha Siasa ambacho hakikutimiza takwa hilo hapo juu ndani ya miaka kumi (Chaguzi Kuu 2) basi Msajili wa Vyama akiondoe kuwa Chama cha Siasa".
Utaratibu huu utaondoa ile dhana ya kuona Vyama vikubwa vinaunda vyama vyao vidogovidogo (vyama "B", "C".... ), ambavyo kazi yao kuu ni ya-kidalali. Kanuni hii itaokoa fedha nyingi ambayo itatumika kibajeti kwa manufaa ya Nchi.
Hapa kiongozi ACT haijadharauliwa wao tayari wamo kwenye serekali znb inawezekana wameridhika kuwa upande mmojaWhy linapokuja suala kubwa la upinzani ni CCM na CHADEMA tu? ACT Wazalendo ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa hazijaisha so anaendekea kula kimya kimya?
Mkuu nilicho fanya mimi ni kutoa hii hoja ili kama itawapendeza wadau ambao watahusika na Katiba Mpya basi waone kuwa wakati mwafaka umefika wa HOJA hii kuiweka kwenye Katiba Mpya. Natambua ni ngumu kumeza. Lakini kwa umoja wetu tupaze sauti juu ya hili. Kwa kweli haipendezi kuwa na vyama vya mifukoni.Hoja yako nimeipenda lkn mkuu elewa sheria zote zinaundwa na ccm haitawezekana ccm wakubaliane na hoja yako kwa sababu baadhi ya vyama ni msaada kwa ccm vikiondoka ccm nguvu itapungua
Huo utaratibu sidhani kama ni mzuri. Kuna vyama vinaweza kufanya umafia vingine vikose kiongozi au vingine viingie na vibaraka vyao!Wakuu, mimi nadhani tufike mahali tutafute njia bora ya kuwa na Vyama vya Siasa HAI na BORA katika Taifa letu. Kuwepo na Kanuni, 1. "kwamba Chama cha Siasa ili kiendelea kuwa Chama hai ni budi kiwe na Kiongozi/Viongozi wa kuchaguliwa na Wananchi katika UCHAGUZI MKUU, ndani ya Mihimili yetu (Serikali, Bunge na Mhakama). 2. "Chama cha Siasa ambacho hakikutimiza takwa hilo hapo juu ndani ya miaka kumi (Chaguzi Kuu 2) basi Msajili wa Vyama akiondoe kuwa Chama cha Siasa".