Naona kuna timu mashabiki wake wataisusia fainali ya pili la kombe la shirikisho

Naona kuna timu mashabiki wake wataisusia fainali ya pili la kombe la shirikisho

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
658
Reaction score
1,605
Najua mahaba ni makubwa mno kiasi kwamba hawapendi kabisa kuambiwa ukweli, lakini wakati utaongea vizuri.

Mechi ya fainali inaishia Morocco na kuna mtu anaenda kula kono la nyani

Hii kitu ndio itawatia uvivu kwenda uwanjani mechi ya pili kwani uwezekano wa kupindua meza autakuwepo kabisa

Mapovu ni ruksa lakini huo ndio ukweli msiopenda kuusikia.
 
Amka mwana Uto upo usingizini kabla hujaachia kimbaz.
 
Labda angekuwa kocha mwingine sawa,lakin huyu anapenda sana kujilinda yaan ni bora timu yake isipate goli ila ijilinde
 
Utabiri wenu ulianza hatua ya awali tulipokutana na Al Ahly Tripoli, mkaja nao makundi, mlisema tutakuwa chini ya timu zote.
Mkauleta robo fainali, tumetoboa.
Mkaja nao tena hatua ya nusu fainali, Tumepita.
Tabiri zenu zote zilmefeli.
Huu nao utafeli pia.
 
Kama usemacho ni kweli Toa ahadi kwqmba utabiri wako usipotimia kundi la watu wakutafune bila wese iwe macho makavu au umelewa iwe ni kweli au kwenye ndoto kikubwa hata ukiota unatafunwa tutakuheshimu kwa tabiri.

Vinginevyo tutaona ulikuwa unatafuta sifa kama Baba levo na wewe utamani kumzalia Eng.hersy.
 
Back
Top Bottom