Naona kuna ukweli kuhusu jambo hili kwa wanawake wengi

Naona kuna ukweli kuhusu jambo hili kwa wanawake wengi

Yaani nikikaa wiki 2 bila kushiriki tendo la ndoa najiona kabisa sipo Sawa hata niwe na hela nitajiona tu kuna kitu hakipo Sawa

Nikishiriki tu hata kama nilikuwa na hasira zote zinaisha nakuwa mpole tena
Wanasema mwanaume kukaa zaidi ya wiki mbili ni ngumušŸ˜€
 
Sawa hapa kwenye uzi tutajadili tutajipa moyo nakujiona sisi wanaume sio wahanga wa ngono!, tukizima tu data tukarudi mtaani tayari kila kitu kinabadilika!, huku wadada wanatunyoosha haswa..🤣
Mi nafikiri kila mtu apambane na anavyoweza hapa tutazungumza hivi yatapitia hivi
Ni ngumu sana mwanaume kuwa mwanaume bila mwanamke

Sema tu tupunguze kuwa desperate kwao, usimuonyeshe mwanamke kwamba BILA YEYE huwezi kuishi ili asije kutumia uchi wake kukunyanyasa

Lakini kusema kwamba mwanaume unaweza kuishi bila mwanamke ni kujidanganya tu
 
Back
Top Bottom