Naona kuna ukweli kuhusu jambo hili kwa wanawake wengi

Yaani nikikaa wiki 2 bila kushiriki tendo la ndoa najiona kabisa sipo Sawa hata niwe na hela nitajiona tu kuna kitu hakipo Sawa

Nikishiriki tu hata kama nilikuwa na hasira zote zinaisha nakuwa mpole tena
Wanasema mwanaume kukaa zaidi ya wiki mbili ni ngumu😀
 
Ni ngumu sana mwanaume kuwa mwanaume bila mwanamke

Sema tu tupunguze kuwa desperate kwao, usimuonyeshe mwanamke kwamba BILA YEYE huwezi kuishi ili asije kutumia uchi wake kukunyanyasa

Lakini kusema kwamba mwanaume unaweza kuishi bila mwanamke ni kujidanganya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…