Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Nakubaliana nawe kwa hili 100% Mtani wangu.Mtanzania akishapata mlo mmoja wa siku moja tena ale wali nyama, apate pombe, na uhakika wa demu, awe na elfu tatu ya supu asubuhi hawezi kukumbuka matukio mengine anamwachia mungu wake
Sihitaji akili hizo zako mkuu. Zangu ziache. Cku ukijua uhusiano wa rais wa kwanza na mindsets za watu wa taifa lake ndio utajua huu upuuz wote ni matokeao ya yaliyosetiwa hovyo huko nyumaHuna Akili.
Huna Akili.Sihitaji akili hizo zako mkuu. Zangu ziache. Cku ukijua uhusiano wa rais wa kwanza na mindsets za watu wa taifa lake ndio utajua huu upuuz wote ni matokeao ya yaliyosetiwa hovyo huko nyuma
Mpaka tarehe 7 mwezi wa 10.hakimu aliyepangwa mwanzo amebadilishwa inasubiri ipangiwe hakimu mwingine. UBAKAJII NA ULAWITI si jambo la kulifurahia.Hii safi, sorry kesi inaunguruma lini tena kama utakuta na details.
lnbhgfddfrtyuiHuna Akili.
ertyuiopjhgfdNakubaliana nawe kwa hili 100% Mtani wangu.
Ndio nakuambia sihtaji akili kama unayotaka. Yule Babu ndio chanzo cha hili taifa kukwama na kuna mahali litakwama kabisa maana misingi yake iliyowekwa ni dhaifu sana. Mtu mwenyewe alikiri kwa kinywa chake kuwa siasa zake zilishindwa then tunaish kumuona mtakatifu.Huna Akili.
Huwezi kuacha jamii nzima kwa kisingizio za kupambania familia. Jamii kuwa na maendeleo ndipo SA familia itakuwa na usalama. Kwa hiyo vyote lazima viende sambambaUmechelewa sana kuwajua watanzania. Psmbania familia yako iende chooni baasi.
Sema kahaba aliye kuwa anauza uchi.Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.