Naona la tukio la Ali Kibao limeshatusahaulisha ghafla sakata la binti wa Yombo aliyeingiliwa kote kote na waliotumwa na Afande

Naona la tukio la Ali Kibao limeshatusahaulisha ghafla sakata la binti wa Yombo aliyeingiliwa kote kote na waliotumwa na Afande

Ila we nawe kenge tu. Mtu mmoja kutolewa uhai kikatili kabisa na mwingine kupigwa miti ila akabaki na uhai wake lipi jambo zito hapo linalopaswa kupigiwa kelele zaidi?
 
Mtanzania akishapata mlo mmoja wa siku moja tena ale wali nyama, apate pombe, na uhakika wa demu, awe na elfu tatu ya supu asubuhi hawezi kukumbuka matukio mengine anamwachia mungu wake
 
Mtanzania akishapata mlo mmoja wa siku moja tena ale wali nyama, apate pombe, na uhakika wa demu, awe na elfu tatu ya supu asubuhi hawezi kukumbuka matukio mengine anamwachia mungu wake
Nakubaliana nawe kwa hili 100% Mtani wangu.
 
Tunaifuatilia sana ile kesi....watu haki za binadamu pia wapo kaziniiiil
 
Sihitaji akili hizo zako mkuu. Zangu ziache. Cku ukijua uhusiano wa rais wa kwanza na mindsets za watu wa taifa lake ndio utajua huu upuuz wote ni matokeao ya yaliyosetiwa hovyo huko nyuma
Huna Akili.
 
Hii safi, sorry kesi inaunguruma lini tena kama utakuta na details.
Mpaka tarehe 7 mwezi wa 10.hakimu aliyepangwa mwanzo amebadilishwa inasubiri ipangiwe hakimu mwingine. UBAKAJII NA ULAWITI si jambo la kulifurahia.
 
𝙃𝙖𝙩𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙪𝙣𝙜𝙚𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙬𝙚𝙬𝙚 𝙪𝙣𝙜𝙚𝙛𝙪𝙖𝙩𝙖 𝙡𝙞𝙥𝙞?? 𝙈𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙣𝙞 𝙢𝙚𝙣𝙜𝙞 𝙢𝙪𝙙𝙖 𝙣𝙞 𝙢𝙘𝙝𝙖𝙘𝙝𝙚!! 𝙈𝙖𝙧𝙖 𝙈𝙝 𝙈𝙖𝙠𝙤𝙣𝙙𝙖 𝙠𝙖𝙥𝙚𝙬𝙖 𝙨𝙪𝙢𝙪 𝙨𝙞𝙟𝙪𝙞 𝙈𝙖𝙧𝙖 𝙖𝙣𝙖𝙪𝙢𝙬𝙖 𝙎𝙖𝙣𝙖, 𝙖𝙠𝙖𝙞𝙗𝙪𝙠𝙖 𝙮𝙪𝙥𝙤 𝙪𝙢𝙯𝙞𝙢𝙖 𝙬𝙖 𝘼𝙛𝙮𝙖 𝙣𝙖 𝙉𝙜'𝙤𝙢𝙗𝙚 𝙯𝙞𝙠𝙖𝙘𝙝𝙞𝙣𝙟𝙬𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙪𝙟𝙖𝙠𝙖𝙖 𝙨𝙖𝙬𝙖 𝙞𝙠𝙖𝙞𝙗𝙪𝙠𝙖 𝙨𝙞𝙠𝙪 𝙮𝙖 𝙑𝙄𝙅𝘼𝙉𝘼 𝙫𝙞𝙤𝙣𝙜𝙤𝙯𝙞 𝙬𝙖 𝘾𝙃𝘼𝘿𝙀𝙈𝘼 𝙬𝙖𝙠𝙖𝙬𝙚𝙠𝙬𝙖 𝙣𝙙𝙖𝙣𝙞 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙧𝙪𝙙𝙞𝙨𝙝𝙬𝙖 𝘿𝙖𝙧, 𝙃𝙖𝙩𝙪𝙟𝙖𝙥𝙪𝙢𝙯𝙞𝙠𝙖 𝙡𝙞𝙠𝙖𝙟𝙖 𝙇𝘼 𝘽𝙞𝙣𝙩𝙞 𝙆𝙪𝙥𝙚𝙡𝙚𝙡𝙚𝙬𝙖 𝙈𝙤𝙩𝙤 𝙫𝙞𝙙𝙚𝙤 𝙯𝙞𝙠𝙖𝙨𝙖𝙢𝙗𝙖𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙪𝙟𝙖𝙥𝙤𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖𝙠𝙖𝙙𝙖𝙞 𝙣𝙖 𝙖𝙛𝙖𝙣𝙙𝙚 𝙖𝙣𝙖𝙩𝙚𝙝𝙪𝙨𝙞𝙨𝙝𝙬𝙖 𝙖𝙛𝙞𝙠𝙞𝙨𝙝𝙬𝙚 𝙢𝙖𝙝𝙖𝙠𝙖𝙢𝙖𝙣𝙞 𝘼𝙢𝙚𝙛𝙞𝙠𝙖 𝙈𝙖𝙝𝙖𝙠𝙖𝙢𝙖𝙣𝙞 𝙝𝙖𝙩𝙖 𝙥𝙞𝙘𝙝𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙪𝙟𝙖𝙯𝙞𝙤𝙣𝙖 𝙆𝙚𝙨𝙞 𝙞𝙠𝙖𝙖𝙝𝙞𝙧𝙞𝙨𝙝𝙬𝙖 𝙢𝙥𝙖𝙠𝙖 𝙢𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙬𝙖 10 𝙪𝙠𝙤 𝙞𝙡𝙞 𝙞𝙥𝙖𝙣𝙜𝙞𝙬𝙚 𝙃𝙖𝙠𝙞𝙢𝙪 𝙢𝙬𝙞𝙣𝙜𝙞𝙣𝙚 𝙩𝙪𝙣𝙖𝙬𝙖𝙯𝙖 𝙠𝙬𝙖𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙝𝙖𝙠𝙞𝙢𝙪 𝙢𝙬𝙞𝙣𝙜𝙞𝙣𝙚 𝙣𝙖 𝙬𝙝𝙮 𝙥𝙞𝙘𝙝𝙖 𝙯𝙖𝙠𝙚 𝙝𝙖𝙯𝙞𝙟𝙖𝙤𝙣𝙚𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙃𝙖𝙩𝙖 𝙖𝙠𝙞𝙬𝙖 𝙖𝙢𝙚𝙣𝙞𝙛𝙪𝙣𝙞𝙠𝙖 𝙃𝙞𝙟𝙖𝙗𝙪 𝙈𝙖𝙧𝙖 𝙥𝙖𝙖𝙖𝙥 𝙈𝙝 𝙆𝙞𝙗𝙖𝙤 (𝙍.𝙄.𝙋) 𝘼𝙣𝙖𝙨𝙝𝙪𝙨𝙝𝙬𝙖 𝙏𝙚𝙜𝙚𝙩𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙤𝙠𝙖 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙗𝙪𝙨 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙚𝙠𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙨𝙞𝙤𝙟𝙪𝙡𝙞𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙬𝙚𝙣𝙜𝙞𝙣𝙚 𝙝𝙖𝙩𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙪𝙢𝙟𝙪𝙞 𝙠𝙖𝙗𝙡𝙖 𝙈𝙝 𝙆𝙞𝙗𝙖𝙤 𝙖𝙡𝙞𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙣𝙞 𝙣𝙖𝙣𝙞 𝙩𝙪𝙣𝙖𝙖𝙢𝙗𝙞𝙬𝙖 𝙖𝙢𝙚𝙪𝙬𝙖𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙬𝙞𝙡𝙡 𝙪𝙢𝙚𝙢𝙬𝙖𝙜𝙞𝙬𝙖 𝙏𝙞𝙣𝙙𝙞𝙠𝙖𝙡𝙞.!! 𝙈𝙖𝙧𝙖 𝘾𝙃𝘼𝘿𝙀𝙈𝘼 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙖𝙣𝙙𝙖𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙣𝙙𝙖𝙢𝙖𝙣𝙤 𝙩𝙖𝙧𝙚𝙝𝙚 23/09 𝙝𝙖𝙩𝙪𝙟𝙖𝙠𝙖𝙖 𝙨𝙖𝙬𝙖 𝙅𝙚𝙨𝙝𝙞 𝙇𝘼 𝙥𝙤𝙡𝙞𝙘𝙚 𝙡𝙞𝙣𝙖𝙥𝙞𝙜𝙖 𝙢𝙖𝙧𝙪𝙛𝙪𝙠𝙪 𝙢𝙖𝙖𝙣𝙙𝙖𝙢𝙖𝙣𝙤 𝙃𝘼𝙔𝙊!
𝙃𝙖𝙮𝙖 𝙈𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙣𝙞 𝙈𝙀𝙉𝙂𝙄 𝙎𝘼𝙉𝘼 𝙉𝘿𝘼𝙉𝙄 𝙔𝘼 𝙆𝙄𝙋𝙄𝙉𝘿𝙄 𝙆𝙄𝙁𝙐𝙋𝙄. 𝙏𝙐𝘼𝘾𝙃𝙄𝙀 𝙎𝙀𝙍𝙄𝙆𝘼𝙇𝙄 𝙄𝙁𝘼𝙉𝙔𝙀 𝙆𝘼𝙕𝙄 𝙔𝘼𝙆𝙀.
𝙉𝙖𝙨𝙞 𝙩𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙚 𝙣𝙖 𝙐𝙨𝙞𝙢𝙗𝙖 𝙣𝙖 𝙐𝙮𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙩𝙪.
 
Huna Akili.
Ndio nakuambia sihtaji akili kama unayotaka. Yule Babu ndio chanzo cha hili taifa kukwama na kuna mahali litakwama kabisa maana misingi yake iliyowekwa ni dhaifu sana. Mtu mwenyewe alikiri kwa kinywa chake kuwa siasa zake zilishindwa then tunaish kumuona mtakatifu.
 
Umechelewa sana kuwajua watanzania. Psmbania familia yako iende chooni baasi.
Huwezi kuacha jamii nzima kwa kisingizio za kupambania familia. Jamii kuwa na maendeleo ndipo SA familia itakuwa na usalama. Kwa hiyo vyote lazima viende sambamba
 
Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
Sema kahaba aliye kuwa anauza uchi.
ni kupoteza muda kuhangaika na kahaba.
 
Back
Top Bottom