Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kidogo derby ingeenda kuchezwa pale airport ya Chato kama basketballMzizima derby kupigwa Zanzibar wakati viwanja vipo nadhani hata mechi zingine kubwa kama derby ya kariakoo itapelekwa mwanakwerekwe na hatimae Sasa league ya NBC inahamia Zanzibar
Tujipange na ndondo za shafii
Good observationTaifa imefungiwa sasa kiwanja kipi cha kisasa kinachoweza kumeza mashabiki wengi zaidi ya Amani Stadium?
Hapa sijaelewa mkalimani anahitajika, sijui ni Kiswahili cha wapi hili? Labda cha BukobaH
by the way it's to easy to choose amani complex coz at least they have good pitch than kirumba and also most of the big football teams they are living in dar so it's too easy to reach Zanzibar than mwanza!.
kwangu mimi sioni shida wao kuchagua Zanzibar!
ila wabongo acheni mikwara! sio kwamba hujaelewa umeelewa maana nilichokosea ni herufi kadhaa na kuna grammar moja hapo nimeyakanyaga! niliandika sikuhariri ndio maana!.Hapa sijaelewa mkalimani anahitajika, sijui ni Kiswahili cha wapi hili? Labda cha Bukoba
umenichekesha utetezi wako 🤣ila wabongo acheni mikwara! sio kwamba hujaelewa umeelewa maana nilichokosea ni herufi kadhaa na kuna grammar moja hapo nimeyakanyaga! niliandika sikuhariri ndio maana!.
wakati naandika nilikuwa vyombo...🤣umenichekesha utetezi wako 🤣
Shida uwezo wa kipato cha wananchi wa huko timu zitapata hasara sana mfano mechi ya Yanga na Waethiopia kiingilio kilikuwa kidogo uwanja haukujaa sema wanaogopa kukataa kwenda kulehata sioni tatizo hapo! maana taifa bado inakarabatiwa sasa mnafikiri watapeleka wapi..?
by the way Zanzibar kiwanja cha amani ni kizuri hata hivyo!,kule mwanza wameshindwa kuboresha ccm kirumba mpk sasa! yani kiwanja cha amani kinazidi cha ccm kirumba mwanza!..😅
na hapo kinachokuja ku take over ni cha arusha wakati cha arusha kitakuwa kipya! kanda yaziwa imelala wakati walau yenyewe ni kanda ya kimichezo ila kiwanja hola!.
by the way it's too easy to choose amani complex coz at least it has good pitch than kirumba and also most of the big football teams they are living in dar so it's too easy to reach Zanzibar than mwanza!.
kwangu mimi sioni shida wao kuchagua Zanzibar!
Kiukweli hii Lugha ni ngumu imenibidi niandikeHapa sijaelewa mkalimani anahitajika, sijui ni Kiswahili cha wapi hili? Labda cha Bukoba
Hamia Rwanda akaone kilichomtoa kuku wa kishingo manyoya yake, eti nchi ya kese.....!!!, mukishiba ugali na maharage ndio mnajiropokea tu mitusi. Nenda ukaishi Rwanda uijue rangi halisi ya Kagame.Tatizo ni Uchawa. Hii nchi ni ya Kise.... sana yaani.
Nchi haina kosa ila nahisi unamaanisha viongozi wanaoiongoza nchi.Hii nchi ni ya Kise....