simba sc vs azam fc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Azam yapigwa Faini ya Tsh. Milioni 50 kwa kususia kukabidhiwa zawadi Zanzibar

    Kamati ya Mashindano ya TFF imeitoza Azam FC faini ya shilingi milioni 50 kwa kukataa kushiriki kwenye sherehe za kukabidhiwa tuzo na zawadi baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) iliyochezwa Julai 4, 2026 katika Uwanja wa Gombani, Pemba. Katika maamuzi hayo, kocha wa makipa wa Azam FC...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: FAINALI | Simba SC 1-0 Azam FC | Kombe la Shirikisho la CRDB | dimba la Gombani, Pemba | Simba yatwaa ubingwa

    Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ni Derby ya Mzizima Simba SC dhidi ya AzamFC Mtanange huu unapigwa Jumamosi hii, Julai 04 katika dimba la Gombani Pemba, Saa 11:00 Jioni. Mechi 5 za mwisho kati ya Simba SC na Azam FC kwenye Ligi Kuu: 5 Aprili 2026: Azam FC 0–0 Simba SC 7 Desemba 2025...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT: Simba Sc 0-1 Azam Fc | NMB Mapinduzi Cup 2026| Nusu Fainali| New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

    Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 hatua ya Nusu Fainali dhidi Azam Fc majira ya saa 8:15 usiku. Mshindi katika mchezo huu atafuzu moja kwa moja hatua ya Fainali ikimsubiri mshindi kati ya Yanga au Singida Black Stars.
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT' Simba SC 0-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Desemba 07,2025

    Leo, katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Simba SC itakuwa na kibarua kizito mbele ya Azam FC. Mchezo utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, majira ya saa 5:00 jioni. Je, ni mbinu ya kocha Matola au Ibenge itakayowezesha timu kuondoka na alama zote 3? Kikosi cha Simba...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

    Simba SC VS Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025 | Saa 1:00 Usiku. Wafungaji wa magoli Simba > Elie Mpanzu dakika, 25 Abdulrazak Hamza dakika, 76 Azam FC > Gibril Sillah. Dakika, 1 Zidane Sereri. Dakika,88
  6. utopolo og

    JamiiForums Tanzania Sioni wa kuitoa Simba nafasi ya pili kwenye ligi kuu NBC

    Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.. Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team. Simba...
  7. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Naona league ya NBC inahamia visiwani Mzizima Dabi kupigwa huko

    Mzizima derby kupigwa Zanzibar wakati viwanja vipo nadhani hata mechi zingine kubwa kama derby ya kariakoo itapelekwa mwanakwerekwe na hatimae Sasa league ya NBC inahamia Zanzibar Tujipange na ndondo za shafii
Back
Top Bottom