FT' Simba SC 0-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Desemba 07,2025

FT' Simba SC 0-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Desemba 07,2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Leo, katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Simba SC itakuwa na kibarua kizito mbele ya Azam FC. Mchezo utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, majira ya saa 5:00 jioni. Je, ni mbinu ya kocha Matola au Ibenge itakayowezesha timu kuondoka na alama zote 3?
1765100999753.jpeg
​
1765112764247.jpeg

Kikosi cha Simba Kinachoanza dhidi ya Azam FC
1765112905622.jpeg

Kikosi cha Azam FC kinachoanza dhidi ya Simba Sc
​
 
Natamani MORRIS ABRAHAM acheze left wing.....Huenda angesaidia mashambulizi kwa kasi
 
Simba sijui wanacheza nini naona kama hawaeleweki
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
WACHEZAJI WA AZAM WANAOGOPA KUIFUNGA SIMBA KWA AJILI YA KULINDA VIBARUA VYAO
 
Back
Top Bottom