Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Gen-Z hawatanii! Wamegomea kabisa mechi ya Simba na Azam? Timu zitalia Njaa muda si mrefu!Leo, katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Simba SC itakuwa na kibarua kizito mbele ya Azam FC. Mchezo utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, majira ya saa 5:00 jioni. Je, ni mbinu ya kocha Matola au Ibenge itakayowezesha timu kuondoka na alama zote 3?
View attachment 3512669
Kikosi cha Simba Kinachoanza dhidi ya Azam FC
View attachment 3512670
Kikosi cha Azam FC kinachoanza dhidi ya Simba Sc