Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Ukisikia shobo ndio hii sasa.Hatutaki, tupo.busy.na Nchi
Hautaki, kwani umeitwa?
Nenda Facebook kamsikilize Mange kimambi na wapuuzi wenzio, huku tuachie tusio na chuki na maendeleo ya wengine.
Ukisikia shobo ndio hii sasa.Hatutaki, tupo.busy.na Nchi
Jamaa anza kubet utakuwa tajiri😁😁Simba naona leo pia itatumia mbinu zote washinde ila wana angukia pua
Gen-Z ni kikundi cha vijana wenye chuki na walio na maendeleo.Gen-Z hawatanii! Wamegomea kabisa mechi ya Simba na Azam? Timu zitalia Njaa muda si mrefu!
Ukianzisha ugomvi usimchagulie mtu pa kupigaUna mtukan mama yangu hakuna anacho jua kati yangu na wewe hajui hata jf, ukiamka mdomo upo upande ulaumu?
Simba ilitawala kipindi cha kwanzaNimeangalia mpira kwa masikitiko makubwa sana.. sasa leo ndio ni.eelewa kwanini Hizi timu kubwa hazitakaa ziamini makocha wazawa.
Wameshika adabu, hawatokua na kiherehere tena kwa risasi zileGen-Z ni kikundi cha vijana wenye chuki na walio na maendeleo.
Kiufupi, hawana hela hawana sera, alafu sio masela wala nini, ni wapuuzi tu.
Upo?Azam anakufa moja tunza hii
Chunga hii kauli yako mkuu, vikikudukua vikajua uko wapi vitakuja kukusalimia. Kiufupi Gen-Z wanatamani nchi ziongozwe kwa kufuata Katiba! Siyo majitu yanazuia vyama vingine kushiriki uchaguzi halafu yanajiapisha, pumbavu kabisa!Gen-Z ni kikundi cha vijana wenye chuki na walio na maendeleo.
Kiufupi, hawana hela hawana sera, alafu sio masela wala nini, ni wapuuzi tu.
😄 acha kutia kidonda chumviUpo?
Haya inama nipigie Sasa, japo na wasiwasi mtalo si msafi potelea potweUkianzisha ugomvi usimchagulie mtu pa kupiga
Hawanitishi lolote.Chunga hii kauli yako mkuu, vikikudukua vikajua uko wapi vitakuja kukusalimia. Kiufupi Gen-Z wanatamani nchi ziongozwe kwa kufuata Katiba! Siyo majitu yanazuia vyama vingine kushiriki uchaguzi halafu yanajiapisha, pumbavu kabisa!
Na kesho wakijichanganya ni zakichwa tu.Wameshika adabu, hawatokua na kiherehere tena kwa risasi zile
🤣🤣 Kwani mbona sioni anacho jifunza maana Kila msimu yupo kama second coach lakini akipewa team product yake inakuwa zero !!!
Ahaha muhindi sio baba yangu bhna 😆Jamaa anza kubet utakuwa tajiri😁😁
Kanisa gani linahusika huko? Ccm mbona mnakosa akili namna hiyo? Gen-Z wanataka kuiadabisha nchi!Hawanitishi lolote.
Kwanza wengi wao ni kula kulala kwa mama zao, hiyo vocha yenyewe kuipata ni mbengele kwao.
Wanatumika na Kanisa kuichafua nchi yangu, na hawataweza kwenye hilo.
Sio kweli, shida ni hasira dhidi ya hiki chama cha Intarahamwe kuendelea kubaki madarakani.Vurugu zilivuruga utafutaji wa rizki
Utampaje u head coach huyo kimeo. Simba Fukuzeni wajinga wote ukitia ndani mzee mangungoMatola apewe anafaa tumpe muda
Dom mbona walijaa?Sio kweli, shida ni hasira dhidi ya hiki chama cha Intarahamwe kuendelea kubaki madarakani.