bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 667
- 1,850
Hebu tujadili
Ujue naona miaka 5 au 10 ijayo nawaona Rwanda na Uganda kama watu ambao wanaweza kuja kuvuruga east Africa, Rwanda Tayari huko Congo mnajionea na anazidi kujitanua kijeshi kwa mwamvuli wa m23 na inasemekana zimeshuhudiwa silaha za kisasa hadi Drones Advanced weapon wanazo na majeshi ya kulinda amami inasemekana baadhi wamejisalimisha
Nliwahi kuskia hapo Kwa Pk wana hadi mifumo ya kisasa ya kuzuia makombora
Uganda nawaona ni wastaharabu sababu ya museven Hekima aliyonayo lakini kwa umri aliokuwa nao m7 namuona mwanae Kaine akiyashika Madaraka mda sio mrefu na yule ndio tishio sasa sababu hana hekima na analiamini jeshi lake kupindukia yaani ana ile dam ya kiidamini damu ya mabavu yule mtoto akiyashika madaraka hapo Uganda lazma tuwe na Tahadhari
Je tumejipanga?