Naona majirani zetu kijeshi wamechangamka hivi sisi tumejiandaaje

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanakutia wewe soma vizuri, 900m$ ya bongo kwenye military, sio 900b$ acha kuwehuka mbona umehype opp na msg .
 
Katika comments zote, wewe ndiye pekee unayeelewa udhaifu wa misheni za UN ambavyo haziwezi kukabiliana na waasi kwa vyovyote vile.

Wengine naona wanalaumu askari wa Tpdf kujisalimisha ama kuweka silaha chini wakiwa Rwanda!

Misheni za UN kama si za kimapigano hazisaidii na wala haziwezi kujibu mapigo ya waasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…