GE2025 Naona maneno ya askofu Gwajima kama vile anaendelea kueneze uchochea na kueneza chuki za kidini, achunguzwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Hakuna aliye juu ya sheria, lakini pia kamwe asivumilowe mtu yeyote yule ambaye anajaribu au atajaribu kutugawa kwa misingi ya kidini au kueneza chuki za kidini.

Huyu ndugu Gwajima ni wazi matamko yake yanatuhamasisha eti sisi wakristu tumchukie Rais dkt Samia.

Tunasema hali hatulikubali na kamwe haliwezekani. hatuko tayari kumchuia Rais eti kwakuwa tu ni mwislamu hilo haliwezekani kwani nchi yetu tangu enzi na enzi tumeoshi kwa amani, upendo na kushirikiana kwa pamoja bila kujali mkristu au mwislam au asiye na dini.

Sasa leo hii mtu kama Gwajima akiachiwa aanze kueneza chuki za kidini ni hatari, achukulowe hatua za kisheria.
 
Hamtoboi mmeudhi wengi
 
Mnaingia kingi kirahisi sana, gwajima kawaingiza kingi mkajaa nyavuni, ile kuwataja wakatoliki ni mtego tu, anajua anachokifanya! Yule ni mwanamikakati na yuko kazini, kuwataja wakatoliki si kwa bahati mbaya
 
Kanisa la Gwajima limefungwa halijafungwa ?
 
Hakuna aliye juu ya sheria, lakini pia kamwe asivumilowe mtu yeyote yule ambaye anajaribu au atajaribu kutugawa kwa misingi ya kidini au kueneza chuki za kidini.

Huyu ndugu Gwajima ni wazi matamko yake yanatuhamasisha eti sisi wakristu tumchukie Rais dkt Samia.

Tunasema hali hatulikubali na kamwe haliwezekani. hatuko tayari kumchuia Rais eti kwakuwa tu ni mwislamu hilo haliwezekani kwani nchi yetu tangu enzi na enzi tumeoshi kwa amani, upendo na kushirikiana kwa pamoja bila kujali mkristu au mwislam au asiye na dini.

Sasa leo hii mtu kama Gwajima akiachiwa aanze kueneza chuki za kidini ni hatari, achukulowe hatua za kisheria.
Maneno yalianza kwa Mwinyi, kwa Mkapa wakaufyata, kwa Kikwete myakaanza maneno kila aina, Kwa Magufuli, wakaufyata, Kwa mama Samioa maneno na uzushi kila namana tunayasikia.

^Tunawaelewa chuki zao za ujinga wa kidini.
 
Hamtoboi mmeudhi wengi
Mimi sina Chama ila sipendi jinsi mkristu mwenzangu anavyo tumia dini kutaka kueneza chuki dhidi ya Rais kisa eti yeye ni mwislamu, hii tabia haifai kuvumiliwa, Gwajima anafaa achukuliwe hatua za kisheria haraka.
 
Hakuna aliye juu ya sheria, lakini pia kamwe asivumilowe mtu yeyote yule ambaye anajaribu au atajaribu kutugawa kwa misingi ya kidini au kueneza chuki za kidini.

Huyu ndugu Gwajima ni wazi matamko yake yanatuhamasisha eti sisi wakristu tumchukie Rais dkt Samia.

Tunasema hali hatulikubali na kamwe haliwezekani. hatuko tayari kumchuia Rais eti kwakuwa tu ni mwislamu hilo haliwezekani kwani nchi yetu tangu enzi na enzi tumeoshi kwa amani, upendo na kushirikiana kwa pamoja bila kujali mkristu au mwislam au asiye na dini.

Sasa leo hii mtu kama Gwajima akiachiwa aanze kueneza chuki za kidini ni hatari, achukulowe hatua za kisheria.
Nafkiri serikal inahitaji kujitafakari zaidi, lakn viongoz wameshupaza shingo as if hawaoni Wala kuckia kinachoendelea Kwa wananchi. Wananchi mioyo yao imevunjika, so mm naona somehow Gwajima anawasilisha majonzi ya wananchi na sio kutoa maneno ya uchochezi
 
Wamanchi 99% wana imani kubwa na Serikali yao chini ya dkt Samia, ila wanafiki wachache kama kina gwajima na magenge mengine ya kihuni kama kina polepole na wengine wazee walio kosa busara ndio wanataka kutuaminisha mambo ambayo hayapo kwa lengo la kuchafua utulivu uliopo nchi.
Watu hao hawapaswi kuchekewa.
 
zandrano wa kumchunguza Gwajima hayupo, wakumjibu hoja zake pia hayupo ila wenye hofu na hotuba za Gwajima wapo.
Kumbuka zimebaki siku 9.
Jitafakarini
 
Back
Top Bottom