Hakuna aliye juu ya sheria, lakini pia kamwe asivumilowe mtu yeyote yule ambaye anajaribu au atajaribu kutugawa kwa misingi ya kidini au kueneza chuki za kidini.
Huyu ndugu Gwajima ni wazi matamko yake yanatuhamasisha eti sisi wakristu tumchukie Rais dkt Samia.
Tunasema hali hatulikubali na kamwe haliwezekani. hatuko tayari kumchuia Rais eti kwakuwa tu ni mwislamu hilo haliwezekani kwani nchi yetu tangu enzi na enzi tumeoshi kwa amani, upendo na kushirikiana kwa pamoja bila kujali mkristu au mwislam au asiye na dini.
Sasa leo hii mtu kama Gwajima akiachiwa aanze kueneza chuki za kidini ni hatari, achukulowe hatua za kisheria.
Maneno yalianza kwa Mwinyi, kwa Mkapa wakaufyata, kwa Kikwete myakaanza maneno kila aina, Kwa Magufuli, wakaufyata, Kwa mama Samioa maneno na uzushi kila namana tunayasikia.Hakuna aliye juu ya sheria, lakini pia kamwe asivumilowe mtu yeyote yule ambaye anajaribu au atajaribu kutugawa kwa misingi ya kidini au kueneza chuki za kidini.
Huyu ndugu Gwajima ni wazi matamko yake yanatuhamasisha eti sisi wakristu tumchukie Rais dkt Samia.
Tunasema hali hatulikubali na kamwe haliwezekani. hatuko tayari kumchuia Rais eti kwakuwa tu ni mwislamu hilo haliwezekani kwani nchi yetu tangu enzi na enzi tumeoshi kwa amani, upendo na kushirikiana kwa pamoja bila kujali mkristu au mwislam au asiye na dini.
Sasa leo hii mtu kama Gwajima akiachiwa aanze kueneza chuki za kidini ni hatari, achukulowe hatua za kisheria.
Mimi sina Chama ila sipendi jinsi mkristu mwenzangu anavyo tumia dini kutaka kueneza chuki dhidi ya Rais kisa eti yeye ni mwislamu, hii tabia haifai kuvumiliwa, Gwajima anafaa achukuliwe hatua za kisheria haraka.Hamtoboi mmeudhi wengi
Nafkiri serikal inahitaji kujitafakari zaidi, lakn viongoz wameshupaza shingo as if hawaoni Wala kuckia kinachoendelea Kwa wananchi. Wananchi mioyo yao imevunjika, so mm naona somehow Gwajima anawasilisha majonzi ya wananchi na sio kutoa maneno ya uchocheziHakuna aliye juu ya sheria, lakini pia kamwe asivumilowe mtu yeyote yule ambaye anajaribu au atajaribu kutugawa kwa misingi ya kidini au kueneza chuki za kidini.
Huyu ndugu Gwajima ni wazi matamko yake yanatuhamasisha eti sisi wakristu tumchukie Rais dkt Samia.
Tunasema hali hatulikubali na kamwe haliwezekani. hatuko tayari kumchuia Rais eti kwakuwa tu ni mwislamu hilo haliwezekani kwani nchi yetu tangu enzi na enzi tumeoshi kwa amani, upendo na kushirikiana kwa pamoja bila kujali mkristu au mwislam au asiye na dini.
Sasa leo hii mtu kama Gwajima akiachiwa aanze kueneza chuki za kidini ni hatari, achukulowe hatua za kisheria.
sawa maana sipo juu ya sheria.Hata wewe uchunguzwe
Nafkiri serikal inahitaji kujitafakari zaidi, lakn viongoz wameshupaza shingo as if hawaoni Wala kuckia kinachoendelea Kwa wananchi. Wananchi mioyo yao imevunjika, so mm naona somehow Gwajima anawasilisha majonzi ya wananchi na sio kutoa maneno ya uchochezi