Naona mazoea yataniletea matatizo

Naona mazoea yataniletea matatizo

Habari,

Wakuu bana me nilikuwa namla demu mmoja miaka 3 iliyopita huko tukaja kuachana kupotezeana sasa mwaka HUU kahamia hapa ninapokaa kumbe alishazaaga huko mtoto mwaka na kitu hivi sasa mshakji aliomzalisha kampangia hapa karibu ninapokaa, sasa jamaa sio mkaaji wa hapa kwa mwezi mara 3 anakuja au mara 6, sasa tukawa na mazoea mazoea na huyu x, sahiv mazoea yamekuwa nikiwa na nguo zangu ananifulia Nina miezi 2 sasa sifui nguo ananifulia yeye, kama msosi sijala namcheki ananiandalia napiga fresh tuh [emoji1][emoji41].

Mazoea hivo ya kawaida namm sitaki kupiga tena ibaki tuh mazoea, japo nikiamua haitokuwa kazi sana.

Sasa juzi bwana kaja sijui umbea kapata wapi kwamba ananifuliaga sometime msosi napiga naona kabisa hali haiko shwari, nataka nikate mawasiliano nae kabisa, au mnanishaurije wakuu?
bana hapo hapo ili uje kukamatwa right handed vizuri na huyo bwanake, ndio sasa muache wizi vizuri.

majambazi ya ngono makubwa nyie alaaa!!!🐒
 
bana hapo hapo ili uje kukamatwa right handed vizuri na huyo bwanake, ndio sasa muache wizi vizuri.

majambazi ya ngono makubwa nyie alaaa!!!🐒
Gentleman, hawa vijana wanapenda kubomolewa vinyeo.

Mwenye mali akikukamata anapandisha hasira kisha hogo lake linazidi kuvimba kwa ghadhabu, matokeo yake anakushenyenta mtaro.

Tujihadhari sana Gentleman
 
Nunua Pdidy oil kabisa ikae standby wakati huo huo utoe taarifa kwenu incase otherwise.
 
Gentleman, hawa vijana wanapenda kubomolewa vinyeo.

Mwenye mali akikukamata anapandisha hasira kisha hogo lake linazidi kuvimba kwa ghadhabu, matokeo yake anakushenyenta mtaro.

Tujihadhari sana Gentleman
unajua saivi wengi wanasingizia utekaji lakini kumbe ni matokeo ya uhuni na madharau kama haya.

kuna watu hawajui kuzungumza maneno bali wao ni kutenda kwa vitendo tu.

my friends ,
Youths of all genders. Be careful with people's wives and properties, you will end up in grave within minutes 🐒
 
Back
Top Bottom