mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Eti wanadai hakupewa wachezaji wake haha haha nachekaga sana mtu ukimuuliza mchezaji wake ni nani hawezj kukujibu.... Alafu wachezaji wangekuwa wanamakocha maalum leo hii tusingekuwa na wachezaji wazuri..... Simply mourinho amefeli na nadhani anaelekea Mwisho wa ubora wakeWabongo wabishi, ona Sasa mpaka pundit wanadai inatosha
Oooo. Bingwa wa kufeli, Kama unaakili sawa sawa huwez mtukana kocha mwenzio other wise mnataniana, Wenger binafsi na Uma utd wangu namheshimu na waliheshimiana Sana na Fergie. Makocha wote waliochukua baada ya Babu niliiona afadhali vaangaal wengine hivyo..huwez kukuta wachezaji was mwenzio ukawauza. Tena ukajifanya una wakwako. Unawanunua Fred,lukaku na Pogba unagombana na wachezaji wako mwenyewe na hawakusaidii, unasaidiwa na aliokununulia wenzio, mata umegombana nae, mtoto wa watu akaamua kukaa kimya, martial umemkuta nk nkEti wanadai hakupewa wachezaji wake haha haha nachekaga sana mtu ukimuuliza mchezaji wake ni nani hawezj kukujibu.... Alafu wachezaji wangekuwa wanamakocha maalum leo hii tusingekuwa na wachezaji wazuri..... Simply mourinho amefeli na nadhani anaelekea Mwisho wa ubora wake
Kwasasa hakuna kocha mwenye uhakika wa kuirudisha united kwenye hali yake kwa muda mfupi ujao. Ni bora Josee abaki. United inapitia kipindi kigumu iyo uwa inatokea kwa klabu kubwa. Jose ni kocha mzuri ila wachezaji hawajitambui. Kama utaangalia mchezaji mmoja mmoja wa United ni wazuri kuliko tim u nyingi ila hawajitambui. Class of 1993 walikua vitoto lakin walikua wanajituma sana na United walitisha tena walikua wachezaji wa kawaida tu.Waharakishe kwa sababu wabongo wabishi Man Utd news: ‘Time's up’ - United told to SACK Jose Mourinho after saying THIS about star
Kabisa mkuu but bado inawezekana tukapata kocha ataetuoa furaha bila kuvunjia heshima timu na kocha wa timu pinzaniOooo. Bingwa wa kufeli, Kama unaakili sawa sawa huwez mtukana kocha mwenzio other wise mnataniana, Wenger binafsi na Uma utd wangu namheshimu na waliheshimiana Sana na Fergie. Makocha wote waliochukua baada ya Babu niliiona afadhali vaangaal wengine hivyo..huwez kukuta wachezaji was mwenzio ukawauza. Tena ukajifanya una wakwako. Unawanunua Fred,lukaku na Pogba unagombana na wachezaji wako mwenyewe na hawakusaidii, unasaidiwa na aliokununulia wenzio, mata umegombana nae, mtoto wa watu akaamua kukaa kimya, martial umemkuta nk nk
Ningekuwa bodi ya manutd kuanzia mkurugenzi hanifai mpaka kocha. Wachezaji wa man City Ni walewale was kawaida, sio wakuuuubwa. Lkn kocha ana akili.anajua kucheza karata, anajua anachokifanya, yule jamaa Pep Gadiola ndio mfano wa Ferguson
Kwasasa hakuna kocha mwenye uhakika wa kuirudisha united kwenye hali yake kwa muda mfupi ujao. Ni bora Josee abaki. United inapitia kipindi kigumu iyo uwa inatokea kwa klabu kubwa. Jose ni kocha mzuri ila wachezaji hawajitambui. Kama utaangalia mchezaji mmoja mmoja wa United ni wazuri kuliko tim u nyingi ila hawajitambui. Class of 1993 walikua vitoto lakin walikua wanajituma sana na United walitisha tena walikua wachezaji wa kawaida tu.