Naona mbali Sana kuhusu Timu yangu

Naona mbali Sana kuhusu Timu yangu

Wabongo wabishi, ona Sasa mpaka pundit wanadai inatosha
Eti wanadai hakupewa wachezaji wake haha haha nachekaga sana mtu ukimuuliza mchezaji wake ni nani hawezj kukujibu.... Alafu wachezaji wangekuwa wanamakocha maalum leo hii tusingekuwa na wachezaji wazuri..... Simply mourinho amefeli na nadhani anaelekea Mwisho wa ubora wake
 
Oooo. Bingwa wa kufeli, Kama unaakili sawa sawa huwez mtukana kocha mwenzio other wise mnataniana, Wenger binafsi na Uma utd wangu namheshimu na waliheshimiana Sana na Fergie. Makocha wote waliochukua baada ya Babu niliiona afadhali vaangaal wengine hivyo..huwez kukuta wachezaji was mwenzio ukawauza. Tena ukajifanya una wakwako. Unawanunua Fred,lukaku na Pogba unagombana na wachezaji wako mwenyewe na hawakusaidii, unasaidiwa na aliokununulia wenzio, mata umegombana nae, mtoto wa watu akaamua kukaa kimya, martial umemkuta nk nk

Ningekuwa bodi ya manutd kuanzia mkurugenzi hanifai mpaka kocha. Wachezaji wa man City Ni walewale was kawaida, sio wakuuuubwa. Lkn kocha ana akili.anajua kucheza karata, anajua anachokifanya, yule jamaa Pep Gadiola ndio mfano wa Ferguson
 
Kwasasa hakuna kocha mwenye uhakika wa kuirudisha united kwenye hali yake kwa muda mfupi ujao. Ni bora Josee abaki. United inapitia kipindi kigumu iyo uwa inatokea kwa klabu kubwa. Jose ni kocha mzuri ila wachezaji hawajitambui. Kama utaangalia mchezaji mmoja mmoja wa United ni wazuri kuliko tim u nyingi ila hawajitambui. Class of 1993 walikua vitoto lakin walikua wanajituma sana na United walitisha tena walikua wachezaji wa kawaida tu.
 
Kabisa mkuu but bado inawezekana tukapata kocha ataetuoa furaha bila kuvunjia heshima timu na kocha wa timu pinzani
 
Mkuu abaki kufanya nini? Timu hii tusitake kuaminishana ni mbovu kama jamaa alivyodai toka akiwa pre season...mbona tulikamata nafasi ya pili na beki hizihizi.... Wachezaji wanavipaji vikubwa but motivation ni 0 kama umepata fursa ya kuangalia video aliyotuma Edo kumwembe Pep akiwapa somo wachezaji wake utaona kabisa hatuna kocha pale kwa Jose..... wewe mtu miaka 3 na usajili wa sichini ya paun mil 350 bado Anamosa first eleven kweli??? Alafu pia haiwezekani anime kikosi kizima kama anavyotaka na pia aliowanunua wanafeli.... Matic si huyo alichomesha goli la 3 akikosa Man marking ability means kocha anashindwa elekeza small tactic kama zile.....

Alafu anaulizwa kama timu ipo kwenye mbio za ubingwa yeye anajibu hadhani kama tutashuka daraja....mtu mwenye akii timamu atajua jamaa anafeli hata sura yake inapoteza mwangaza wa matumaini.... Jose ni kocha mzuri ndiyo but Kwa Manchester United bado sana kaka.... Maana mpaka sahizi ametengeneza short term plan zilizofeli usajili wake mwingi umefeli Matic huyu msimu ujao tutaanza hangaika tena kuleta defensive midfielder.... Kwanini alimpa Fellaini mkataba utagundua alijua tu ataokolewa na crosses na dead balls....

Fred alimleta Man Utd wa nini kama mchezaji mda wote anakaa bench si bora asingemsajili tu.... Tatizo alikurupuka kumsajili Fred kwa kudhani anawakomoa city ambao walikuwa wanamtaka..... Yani miaka ya karibuni tumekuwa kichekesho city wakitaka wachezaji na sisi tunahamia hapo bila kujua hata jinsi ya kuwatumia.....

Timu ilikuwa na Shira ya right winger yeye alifanya swap ya Alexis na Mick akati alijua Hakuna creative player kama Mick pia alijua Sanchez sio mzuri upande wakulia....mwisho anasema board haikumpa support....

Back
Top Bottom