Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Mbosso Ni noma,aslay akasome memkwa.Usirudie tena kumfananisha Aslay vitu vya ajabu.
Nadekezwa ulishaisikiaga,mbosso Ni mbingu na aslay Ni ardtji kwa Sasa hivi ok,be careful with your heart ok.Yan hiyo nipepee tu ndio imekuchanganya hivi mpk umfananishe Aslay na Mboso mbona ni km mbingu na ardhi.
Aslay aka imbe kwaya nyimbo zote zinafanana kuanzia audio,merody,mavazi sauti Hadi mavideo queen ubinifu sufuri bin sufuri(MBOSSO KHAN KIBOKO YAKE).Mbosso akaimbe taarab. Nyimbo zinafanana kuanzia Audio hadi Video.
Clouds si watu wazuri... Wameshamtupa Dogo...Bado kuna mtu anabishia huu ukweli mchungu?
wameona halipi kwaingiza hasaraClouds si watu wazuri... Wameshamtupa Dogo...
Mbosso anabebwa na wcb. Huwezi kubisha kama huleti ushindani.Aslay aka imbe kwaya nyimbo zote zinafanana kuanzia audio,merody,mavazi sauti Hadi mavideo queen ubinifu sufuri bin sufuri(MBOSSO KHAN KIBOKO YAKE).
mbona mi ni shabiki wa WCB ila namkubali sana Beka Fleva anajua kuliko hata Mbosso na Aslay hata Lavalava hagusi kwa Beka sema dogo anakosa promo tu,but yule angekuwa best choice kwa WCB...huo.ndio ukweliMbosso anabebwa na wcb. Huwezi kubisha kama huleti ushindani.
Sikatai kuwa anajua, ila wcb ndo msingi wake. Kama hamuamini, mwambieni aende akajisimamie mwenyewe muone kama hata buguruni atafika.
Mashabiki wa wcb ni wengi. Na kwa wingi wao, huwa hawasupport wanamuziki wa nje ya wcb maana wanapenda kuona wcb ndo wako juu kuliko wengine hata kama hao wengine wanajua. Ni sawa na rayvanny tu
mbona mi ni shabiki wa WCB ila namkubali sana Beka Fleva anajua kuliko hata Mbosso na Aslay hata Lavalava hagusi kwa Beka sema dogo anakosa promo tu,but yule angekuwa best choice kwa WCB...huo.ndio ukweli
DaahπππBeka ni takataka hana mvuto kuanzia muonekano mpaka uimbaji... anaimba kama anapiga kelele, bora enock belaa kuliko beka.. mbosso na aslay wapo juu sana kwa beka mlugaluga
Hadi Januari,Februari na March 2019...Mbosso namkubali, kwangu mimi ni msanii bora wa mwaka aug, sept na oct
Hii chuki sasaBeka ni takataka hana mvuto kuanzia muonekano mpaka uimbaji... anaimba kama anapiga kelele, bora enock belaa kuliko beka.. mbosso na aslay wapo juu sana kwa beka mlugaluga
Yaani sura kama mdogo wake Pierre wa LiquidSura na muonekano wa mboso hauna shukrani, bado anaonekana mlugaluga anatakiwa akaimbe kwenye ngoma za asili
ππππ Nimecheka sana