Naona Mboso anaichukua nafasi ya Aslay....

Tatizo LA wasafi"rishaji" ndio hilo... Kila kitu wao ni kufananisha na kushindanisha... Vingine muache tu vipite
 
Bado kuna mtu anabishia huu ukweli mchungu?
 
Aslay aka imbe kwaya nyimbo zote zinafanana kuanzia audio,merody,mavazi sauti Hadi mavideo queen ubinifu sufuri bin sufuri(MBOSSO KHAN KIBOKO YAKE).
Mbosso anabebwa na wcb. Huwezi kubisha kama huleti ushindani.
Sikatai kuwa anajua, ila wcb ndo msingi wake. Kama hamuamini, mwambieni aende akajisimamie mwenyewe muone kama hata buguruni atafika.

Mashabiki wa wcb ni wengi. Na kwa wingi wao, huwa hawasupport wanamuziki wa nje ya wcb maana wanapenda kuona wcb ndo wako juu kuliko wengine hata kama hao wengine wanajua. Ni sawa na rayvanny tu
 
mbona mi ni shabiki wa WCB ila namkubali sana Beka Fleva anajua kuliko hata Mbosso na Aslay hata Lavalava hagusi kwa Beka sema dogo anakosa promo tu,but yule angekuwa best choice kwa WCB...huo.ndio ukweli
 
Beka ni takataka hana mvuto kuanzia muonekano mpaka uimbaji... anaimba kama anapiga kelele, bora enock belaa kuliko beka.. mbosso na aslay wapo juu sana kwa beka mlugaluga
 
Mbosso namkubali, kwangu mimi ni msanii bora wa mwaka aug, sept na oct
 
Beka ni takataka hana mvuto kuanzia muonekano mpaka uimbaji... anaimba kama anapiga kelele, bora enock belaa kuliko beka.. mbosso na aslay wapo juu sana kwa beka mlugaluga
Daah😂😂😂
 
Dogo huyu ananiboa matusi kwenye vikaswida vyake..vitoto vya mbagala navyo shida tu...adabu makalioni
 
Sura na muonekano wa mboso hauna shukrani, bado anaonekana mlugaluga anatakiwa akaimbe kwenye ngoma za asili
 
Back
Top Bottom