[emoji848][emoji848]sio bandari ya Dar es salaam ni maji yote yanayomilikiwa na Tanganyika. Bahari na Maziwa.
Sauti ipazwe hivyo, kuonyesha mapungufu ya mkataba. Lakini sio kabila la mbiaYawezekana uko sahihi, Ila Nje ya uarabu wao miaka 100 ni mingi sana, sisi na watakao zaliwa kesho sote hatutakuwepo.
Alikuwa na haraka ya kuposti,Asante Kwa elimuApartheid au
Apathed
Wapi pameandikwa miaka 100sio bandari ya Dar es salaam ni maji yote yanayomilikiwa na Tanganyika. Bahari na Maziwa.
wapi nimesema miaka ?Wapi pameandikwa miaka 100
Nafukiri umenielewa msomiApartheid au
Apathed
rais ndo kila kitu katika nchi zenye watu wajingajinga ,hatuna mipango, rais akiamua chochote kinakuwa.Nikiangalia jinsi mjadala unavyoendelea juu DP word kuwekeza bandari ya Dar es salaam, nathubutu kusema kweli ubaguzi unaendelea kuwepo Africa, na ndio kizuizi kikubwa Cha maendeleo ya nchi, hivi unathubutu vipi kusema hatutaki DP world kisa ni waarabu na wataleta udini bandarini! Kwa nilivyoona Mimi kwa namna mtu mwingine anavyochangia mjadala juu anaona Bora ya wangebaki TICTS kwakuwa walilinda kazi zao kama watu wa Imani fulani tofauti na waarabu. Utamshawishi vipi Alie upande wa dini nyingine kuunga mkono hoja Yako? Chama X, kosa Hili munaruhusu sana kulirudia mara kwa mara, mulifanya hivyo uchaguzi wa 2015, na mulifeli, mtu anajiuliza kwa ubaguzi huu, vipi tukiwapa mamlaka kamili? Kwangu ni Bora CCM ibaki milele ila umoja na utulivu uwepo kuliko Hawa wahubiri mgawanyiko. Ndio maana China ya Mao ilikataa dini, Ndio maana waingereza wakaanzisha Anglicana, ndio maana katika harakati za maendeleo baadhi ya maeneo ya dunia viongozi wa dini waliuwawa. Dini huwa inaleta mgawanyiko baina ya watu na palipo mgawanyiko hakuna maendeleo. Au ndio tuseme hii kampeni ni ya TICTS ili kufanikisha mpango wao haramu wa kuendelea kutuhujumu? Tuikatae DP World kwa hoja zilizoshiba na sio chuki za kiimani. Sio sawa na hazileti umoja wa kitaifa.
anaachaje kipaji chake π π πAcha upumbavu!!!
Waarabu ni magaidi lazima watatuleta ugaidi
Nikiangalia jinsi mjadala unavyoendelea juu DP word kuwekeza bandari ya Dar es salaam, nathubutu kusema kweli ubaguzi unaendelea kuwepo Africa, na ndio kizuizi kikubwa Cha maendeleo ya nchi, hivi unathubutu vipi kusema hatutaki DP world kisa ni waarabu na wataleta udini bandarini!
Kwa nilivyoona Mimi kwa namna mtu mwingine anavyochangia mjadala juu anaona Bora ya wangebaki TICTS kwakuwa walilinda kazi zao kama watu wa Imani fulani tofauti na waarabu. Utamshawishi vipi Alie upande wa dini nyingine kuunga mkono hoja Yako? Chama X, kosa Hili munaruhusu sana kulirudia mara kwa mara, mulifanya hivyo uchaguzi wa 2015, na mulifeli, mtu anajiuliza kwa ubaguzi huu, vipi tukiwapa mamlaka kamili?
Kwangu ni Bora CCM ibaki milele ila umoja na utulivu uwepo kuliko Hawa wahubiri mgawanyiko. Ndio maana China ya Mao ilikataa dini, Ndio maana waingereza wakaanzisha Anglicana, ndio maana katika harakati za maendeleo baadhi ya maeneo ya dunia viongozi wa dini waliuwawa. Dini huwa inaleta mgawanyiko baina ya watu na palipo mgawanyiko hakuna maendeleo.
Au ndio tuseme hii kampeni ni ya TICTS ili kufanikisha mpango wao haramu wa kuendelea kutuhujumu? Tuikatae DP World kwa hoja zilizoshiba na sio chuki za kiimani. Sio sawa na hazileti umoja wa kitaifa.