Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukurani.Ubarikiwe sana bro🙏
Shukurani sana gwa kumyitu.Mshukuruni Mungu....enendeni 2025 na moyo mkunjufu.Mwenyezi Mungu akafanikishe Kila mlipiganialo maishani.Mkawe na afya,mkastawi.Nawapenda sana.🤞
Waohh!Ooh,karibu sana mbeya mkuu
AminaAsante sana ndugu .... barikiwa sana
Mshukuruni Bwana.Kwa maana fadhili zake ni za milele!Mshukuruni Mungu....enendeni 2025 na moyo mkunjufu.Mwenyezi Mungu akafanikishe Kila mlipiganialo maishani.Mkawe na afya,mkastawi.Nawapenda sana.🤞
Siku ya kwanza tu tayari mgumu?Hii kiboko kama siyo kifimbo.Mwaka mgumu huu