Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kila kitu kinafanyika CHADEMA ni pre-planned. Wanataka kuonesha kuwa kwao nafasi yoyote inaweza kugombewa na inagombewa kwa ushindani. Sitashangaa dk za mwisho Mbowe akasema hagombei.Leo Tundu Lissu ambaye ni makam mwenyeketi wa CHADEMA ametangaza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho.
So sifahamu kama Freeman Mbowe naye atatangaza nia ya kugombea nafasi hiyo na kama akitangaza nia hiyo basi naona ndani ya CHADEMA moto wa kisiasa utawaka sana.
Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Naona pia kunaweza kutokea matabaka makubwa kwa muda mrefu maana leo nimeona nguvu ya Lissu ni kubwa sana na wanachama wanaonyesha wanatamani zaidi Lissu kuwa mwenyekiti mkuu wa CHADEMA.
Chama kinahitaji Mabadiliko lkn siyo TundulisuLeo Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyeketi wa CHADEMA ametangaza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho.
So sifahamu kama Freeman Mbowe naye atatangaza nia ya kugombea nafasi hiyo na kama akitangaza nia hiyo basi naona ndani ya CHADEMA moto wa kisiasa utawaka sana.
Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Naona pia kunaweza kutokea matabaka makubwa kwa muda mrefu maana leo nimeona nguvu ya Lissu ni kubwa sana na wanachama wanaonyesha wanatamani zaidi Lissu kuwa mwenyekiti mkuu wa CHADEMA.
Njia pekee ya mbowe kumweza tundu lissu ni kushirikiana na ccmLeo Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyeketi wa CHADEMA ametangaza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho.
So sifahamu kama Freeman Mbowe naye atatangaza nia ya kugombea nafasi hiyo na kama akitangaza nia hiyo basi naona ndani ya CHADEMA moto wa kisiasa utawaka sana.
Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Naona pia kunaweza kutokea matabaka makubwa kwa muda mrefu maana leo nimeona nguvu ya Lissu ni kubwa sana na wanachama wanaonyesha wanatamani zaidi Lissu kuwa mwenyekiti mkuu wa CHADEMA.
Ni kweli Mbowe katangaza Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je atabaki ama atatimka?. Lissu Cool Down!, usiitishe Press kumjibu Mbowe! moto utawaka。Leo Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyeketi wa CHADEMA ametangaza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho.