Naona nimezeeka

malisak

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2006
Posts
694
Reaction score
775
Wazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh!
 
Wazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh!
Karibu sana kwa upya.

Kuna mtu humu aliwahi kukuulizia kule MMU, nikimkumbuka nitamtag huku akuone umekuja upya
 
Utabadilika tu taratibu na kuwa new version
 
karibu sana JF mjukuu wetu............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…