Naona Nina gundu...

Naona Nina gundu...

Muache mkeo uchepuke vizuri labda kuna stage za ujana uliziruka uzimalizie
 
Wana MMU hope mko poa!

Shida yangu kubwa ni kila nikianzisha mahusiano na mchepuko nakamatwa na wife, simalizi hata wiki..

Mpaka nimekuwa nijihisi mwenye gundu...naombeni msaada...

afadhali huyo bundi aendelee kuwa na wewe. kwani mkeo anashida gani? nini cha ziada unachokitafuta huko nje au hela inakuwasha?
 
Back
Top Bottom