The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Ona huu unyama hao wapinzani waliopitia
1. Maalim seif alinyang'anywa uraisi na zecha .aliteswa sana na CCM machafuko ya 2001
2. Lipumba alipigwa hadi kuvunjwa mkono huko zanzibar 2001 na mhanga wa mauji hayo.na juzi kafanyiwa fitina akaporwa uenyekiti.
4.Dr slaa alipigwa na kuvunjwa mkono machafuko ya Arusha huku mke wake akijeruhiwa vibaya sana. Dr slaa pia alifunguliwa kesi ya ugaidi.
5. Chini ya mbowe Lisu kapigwa risasi afe Mawazo kauliwa soka, ben sanane na watu wengi sana. Mbowe pia ni mhanga machafuko ya arusha 2012 bila kusahau kwamba ni gaidi kwa mujibu wa CCM.
6.Mrema kafanya siasa.kipindi cha Nyerere mpenda haki, kipindi cha Nyerere wapinzani walikuwa hawateswi na kuuliwa. bila.kusahau NCCR ilivurugwa na CCM hadi mrema kuanzisha TLP.
#Mods please don't change the title