Naona RC Chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Naona RC chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa. Anafurahia kuona watanzania wasio na hatia wala silaha wanakamatwa, wanateswa , wanavunjwa miguu na kutupwa porini.

Nchi hii kuwa na viongozi kama hawa tumefikia pabaya sana, ni heri tungekuwa na bucha za nyama za watu kuliko ukatiri kama huu.

Nahisi wale askari walikuwa kinyume na maagizo, tutajuaje kama watakiwa kuwatupa mto wami waliwe na mamba ili Chalamila na genge lake wafurahi?

Tutajuaje kama maagizo ilikuwa ni kuwapiga wasiweze kutembea na kuwatupa mbuga ya wanyama waliwe na fisi?

Tefikaje hapa? RPC dar sijui kama anaelewa ukubwa wa tatizo wa jeshi la police linalo acha value zake na kuteleleza maagizo?

Naogopa kuwaza kwamba hawahawa police ipo siku watapewa maagizo na kiongozi kumfanyia haya kiongozi mwimgine wa nchi?

Huu ni ungengeufu hata wanyama wa poroni hawawezi kuufanya.
 
Kuna watu Kenya walipelekwa ze hegi
 
Back
Top Bottom