Naona sasa amekuwa normalized na Ripoti yake au visits by fellow dictators. Sauti sasa inatoka kama hana hatia ya 29th October, 2025!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Anaongea with confidence as if amekuwa acquitted na Mahakama ya ICC kama hana hatia na mauaji ya kimbari ya october, 29th.

Anaongea with great confidence....mikwaju chapa etc etc!

Hivi Ruto alikuja kufanya nini? Ku normalise mauaji?

Time will tell!
 
Ile October 29 na yalio tokea ndio imepita hivyo!
Wapumzike kwa amani wote waliofariki kipindi, ila ole wetu sisi tuliopo, hakuna rangi ambayo hatutaiona.
 
"Muda si mrefu tutaanza pia kufanya ziara za kuzindua miradi ya maendeleo, na kuwashukuru wapiga kura kutokana na ushindi wa kishindo waliotupatia ile Oktoba 29, 2025."
 
Anaongea with confidence as if amekuwa acquitted na Mahakama ya ICC kama hana hatia na mauaji ya kimbari ya october, 29th.

Anaongea with great confidence....mikwaju chapa etc etc!

Hivi Ruto alikuja kufanya nini? Ku normalise mauaji?

Time will tell!

Hao wote ni MKAKATI wa kuja kumsafisha.

Naona mpaka ameanza kujisahau na kuanza tena kutoa mikwara kwa GenZ .... Ana Roho ngumu kweli kweli.
 
Anaongea with confidence as if amekuwa acquitted na Mahakama ya ICC kama hana hatia na mauaji ya kimbari ya october, 29th.

Anaongea with great confidence....mikwaju chapa etc etc!

Hivi Ruto alikuja kuf8anya nini? Ku normalise mauaji?

Time will tell!
Huenda naye naye ni Baba mikwaju!
 
Back
Top Bottom