Naona sasa uchawa umezidi hapa nchini. Nashauri serikali ya CCM ianze kugawa tuzo za machawa

Kulikua na haja gani mheshimiwa chawa kuvaa nguo ya aina hii?

View attachment 3255672

Hakika Anko Magu alituingiza choo cha kike.
Mleta mada una kiwango duni sana cha uelewa wa mambo

Mtu ambae ni waziri wa Serikali, mteule na muwakilishi wa Raisi unamuita chawa..!??

Ulitaka hapo avae kombat za Chadema au

Nashangaa sana Pascal Mayala kumualika Tundu Lissu awe anasoma soma JF, yaani awe anaingia kusoma takataka kama hizi za mleta mada
 
Kweli hii inchi wajinga tupo wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…