Naona siasa inataka kuingia kwenye zabibu!

africansongs

Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
83
Reaction score
225
Habarini wadau, kwenye habari za tbc namuona mkuu wa wilaya anasema ataanza kusweka ndani wenye viwanda vya mvinyo mkoani dodoma kwa kushindwa kununua zabibu zilizokomaa mashambani.

Yaani walianza kwenye korosho, wakaja kwenye pamba sasa wanataka kuingia kwenye zabibu.

Embu tujadiliane kidogo katika hili.
 
Hahaa kwa hiyo kununua ni lazima? Biashara inahaliniwa sana na Wanasiasa hasa hawa Wakuu wa Mikoa na Wilaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…