africansongs
Member
- Jan 5, 2018
- 83
- 225
Habarini wadau, kwenye habari za tbc namuona mkuu wa wilaya anasema ataanza kusweka ndani wenye viwanda vya mvinyo mkoani dodoma kwa kushindwa kununua zabibu zilizokomaa mashambani.
Yaani walianza kwenye korosho, wakaja kwenye pamba sasa wanataka kuingia kwenye zabibu.
Embu tujadiliane kidogo katika hili.
Yaani walianza kwenye korosho, wakaja kwenye pamba sasa wanataka kuingia kwenye zabibu.
Embu tujadiliane kidogo katika hili.