Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
- Thread starter
-
- #41
Mkuu, mwanzo wa penzi uwa ni mtamu....changamoto inakuja pale mnapokuwa ndani ya ndoa, kero za hapa na pale, uwongo, na vitu vingine vidogovidogo ambavyo vinakera na kuumiza mtu moyo. HAKUNA mtu anayekwenda kwenye ndoa akidhamilia kuchepuka, never.
Hii Safi sana.Mimi siku nakabidhiwa mke nilieleza mbele ya pande mbili. Siku nikishikwa kwa namna yoyote nachepuka ndoa ife vile vile yeye nikimshika ni mwisho wa ndoa kama anaona ngumu tusichukuane apa
Point murua kabisa,Kuna vitu havizuiliki waungwana hebu fikiria unahustle kwa ajili ya familia ulipe pango, ada, chakula , mavazi, mwamamke anenepe vizuri na nguo anamuachia dada wa kazi akufulie yeye anakaa tu na simu na TV alafu kitandani hana ubunifu hata kidogo how can you handle that?
Wanaume wengi wanacheat for the reason of balancing stress na kufukia madhaifu fulani, wewe kama mwanamke cheat kwenye mazingira hiyo kesho asubuhi nakuwahisha mbezi louis na shangazi kaja (china bag) yako urudi kwenu
Ujamaa SI naskia alikula hausigelo?Muondoe Ibrahim hapo alafu urudi kusoma maandiko vizuri.
sio Kwa mapenzi yake Bali mkewe ndio alimforce ili apate mtoto na yeye. Jamaa alikuwa na mahaba Kwa mkewe had anazeeka alikuwa hana mpango wa kutest mitambo nje.
Wanaume wakiwa wapumbavu watumwa wenu huwa mnawasifiaKumbe bado kuna wanaume wenye akili duniani nilidhani wameisha
Km unampenda kweli muoeMi binafsi nisha mcheat mkewangu tena sana tuu... kuna kipindi huyu mchepuko nlie nae alikuwa msaada sana kwangu kimawazo na hata kiuchumi.
Lakini mke yeye nikelele ndani mabishano ya kila mara mara malalamiko ya kila muda.Yaani ukirudi home mpaka unaondoka kwenda Job unashukuru.
Amini kweli nlikuwa na mawazo sana nikajikuta nimeangukia katika mchepuko ambae kweli niko nae mpaka sasa na mwenye uwezo tuu ma maisha yake basi kweli najiona mwenye faraja sanaa.Japo siri ni kubwa na mkewangu hafahamu.
Dada huyu tunapeana changamoto za maisha mpaka tunakopeshana pesa na tuna lipana kwa wakati...Basi mwenzenu amekuwa bonge la faraja kwanguu.
Kuna kipindi alinisaidia sana katika wakati mgumu muda huo Wife hajui chochote kabisaa.
So si kila mchepuko ni hasara
Nampenda sanaa sio tuu kweliii...Km unampenda kweli muoe
Kumbe unamuogopa mkeoNampenda sanaa sio tuu kweliii...
Sema mimi ni Mkristu na pia Wife akijua soo.
Natamani sana nimuunganishe Wife nae wapige pesa kwa mishe zao lakini sasa nashindwa.Na hata mtaji ningewapatia ila sasa dah...
Ndioo maana ye si ndo ananipikia na hata kuvaa na kulala kwangu ni yeye...Kumbe unamuogopa mkeo
🤣🤣🤣🤣🤣
Wanaume tambo zenu hapo mwisho wa reli
Haya bwn pambanaNdioo maana ye si ndo ananipikia na hata kuvaa na kulala kwangu ni yeye...
So anao uwezo wa kufanya lolotee...
So lazima nimuogopee
Mpe mkeo talaka, muoe mchepuko uishi kwa amani na mafanikio.Mi binafsi nisha mcheat mkewangu tena sana tuu... kuna kipindi huyu mchepuko nlie nae alikuwa msaada sana kwangu kimawazo na hata kiuchumi.
Lakini mke yeye nikelele ndani mabishano ya kila mara mara malalamiko ya kila muda.Yaani ukirudi home mpaka unaondoka kwenda Job unashukuru.
Amini kweli nlikuwa na mawazo sana nikajikuta nimeangukia katika mchepuko ambae kweli niko nae mpaka sasa na mwenye uwezo tuu ma maisha yake basi kweli najiona mwenye faraja sanaa.Japo siri ni kubwa na mkewangu hafahamu.
Dada huyu tunapeana changamoto za maisha mpaka tunakopeshana pesa na tuna lipana kwa wakati...Basi mwenzenu amekuwa bonge la faraja kwanguu.
Kuna kipindi alinisaidia sana katika wakati mgumu muda huo Wife hajui chochote kabisaa.
So si kila mchepuko ni hasara
AsanteHaya bwn pambana
Hapana siwezi acha mkewangu...
Mkeo alikuwa na makelele au hayo mapungufu unayoyaona sasa hivi; kabla hamjaoana? Qidee mahusiano ya kuchepuka/dating ni matamu sana. I wish ungeuoa huo mchepuko afu uje utupe mrejesho wa maisha yenu ya ndoaHapana siwezi acha mkewangu...
Ila tuu ujue maisha ndo ya livyo hayana fomula maalum.Tizama dada wawatu nipo nae bila shida na anajitambua az if mke asee.Na uwezo wa kula na kuvaa anao.Hana tabia za kimalaya kama wanawake wengine kubwa zaidi hana majivuno kama niwaonavyo wengine.
Huu mchepuko huwa una nifanya niwe na fikiri sana zaidi na zaidi katika maisha.
Mkewangu wakati wa uchumba kabla ya ndoa alikuwa mtu mzuri na mstaarabu sanaa.Mkeo alikuwa na makelele au hayo mapungufu unayoyaona sasa hivi; kabla hamjaoana? Qidee mahusiano ya kuchepuka/dating ni matamu sana. I wish ungeuoa huo mchepuko afu uje utupe mrejesho wa maisha yenu ya ndoa
Muoe huyo wa pili ya KiserikaliHapana siwezi acha mkewangu...