Naona suala la michepuko linaonekana ni sawa kwa upande mmoja

Mkuu, huyo Dada si mjinga, anahitaji awe na ndoa na familiya yake inayotambulika.

Kwa kuwa amekupenda na kwakuwa na wewe unampenda sana, na kwa kuwa na yeye analijua hilo, Na kwakuwa anajua kinachosababisha yeye hasiwe mkeo ni vitu viwili (1) Mkeo (2) Ukristo, Basi katika mazingira haya bila kujua unaweza kumsababishia mkeo matatizo.

Ni hivi, anaweza kufikia mahali fulani akatumia namna nzuri ya kumuondoa mkeo ambayo haitoacha alama wala mashaka kwamba kaondolewa na mkono wa binadamu hususani yeye (mchepuko) baada ya hapo atalia na kuugua na wewe ( kinafiki) katika wakati huo mgumu utakaokuwa unaupitia,alafu baada ya hapo matokeo yanajulikana ( Kwamba utamtwaa awe mkeo baada ya kifo cha mkeo).
Kabisaaa yaan, naliona hili pia.
 
Mm sijaoa Bado ila ukweli nachepuka na mke wa mtu mwenye watot wawili Tena tunakah majiran kbsa nagegeda vzr hata Jana jioni nilichakata pia baaada ya kuja kunipikia huku mumewake akiwa dukani anaendelea na biashara zake
Namuuliza vip Mr anasema bwana ake yule Ni mkorofi na hayuko romantic kbsa kila kitu kwake Ni serious na pia anamatusi, Kajeli dhid yake hvyo mwanamke anakereka Sana kwa kauli zake hzo so anachotafuta Ni faraja kwa upande wa pili

So Kama upo Happ unamtukan mkeo na kumdharau bas acha kwa vile huku mm nachakata tu na ananipa vzr Sana kwa kweli dada huyu anajuwa kunipa vzr Sana na ufundi wa kunyonya mb...o o kwa ustadi
 
Tuliza makeke bidada, Mchepuko yupo kubalance maisha ya kwenye Ndoa. Nyie kama mnataka wanaume wasiochepuka basi umbeni wa kwenu. Ila ukweli ni kwamba “Men are polygamous in nature” hizi habari za kuanza kuambizana sijui imepita hapa mara kule ni kujisumbua tu.
Nikwambie wewe dada mwenye Jina zuri kabisa na Mtoa maada: Kama unamumeo au Bf wako hujawahi kusikia anamchepuko basi tambua kabisa Huyo mumeo ni Pro kwenye kuchepuka. Kuna michepuko iko smart sana. Ukiingia kwa inbox ya mumeo utakuta wanachati just as friends do ila mambo mengi yanaishia kwa Simu. So msituhangaishe hapa. Suala la kuwa mwanamke mmoja kwa maisha haya mafupi ni Ngumu sana.
Ipo mifano mingi tu kwenye Biblia ikionyesha how polygamous men are, So stop dreaming and live the reality of it. I just wanna give you this of advice Madamme, If you want your marriage or relationship last, stop overthinking and trust your man assuming he doesn’t have one unless otherwise you wanna live as single mother full of hatred towards men. I am sorry to tell you that believing that The man can be satisfied with one woman is an delusional. Kinachomfanya mwanaume aonekane ametulia ni mambo kati ya haya yafuatayo;
  • He is broke
  • His manhood is doubtful
  • He is Brainwashed
 
Hiyo reason ya kwanza ndio yenyewe kabisa. Ukiwa broke kwanza wanawake wanakukwepa kama ukoma...talking from experience.

Mwanaume mwenye hela kula mbususu moja haiwezekani maana kwanza wanawake wanakuvulia chupi tuu ni wewe kuamua leo zamu ya nani au nina wa confuse
 
Waache kungaikia jambo ambalo kuisha kwake ni hadi Mungu aumbe dunia Mpya ila kwa sasa. Na hata hivyo Mungu hachukizwi na Kuwa na wake wengi ila anachukia kunyandua nyandua na kuacha. Ukiwa na msimamo wa Wanawake wako wawili au watatu wote unapa dozi zai safi. Asee hutasikia kitu inaitwa stress. Period
 
Kweli kabisa alafu mbona wanawake wenyewe wanaelewa kabisa kuwa mwanaume kuwa na mbususu moja ni kumtafutia stress.

Ila sasa na sie wanaume tuache ungese wakutaka mwanamke agegedwe na de libolo moja...wacha nao wawe na vidume vitatu...tena mkiwa pamoja kwa bed mnatakiwa mnashare mastory ya kugegeduana na kuoeana style mupya mupya
 
Acheni kupotosha,

Wapo wanaume wengi wanaishi na mke mmoja vizuri sana tu kwenye jamii bila kuchepuka.

Kuna watu wanaishi kwa kufuata kanuni .

Maisha ya ndoa bila kuchepuka yanawezekana!
 
Ebe leta mmoja asie chepuka mie nitakuletea million ambao wanachepuka
 
Kumbe unamuogopa mkeo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume tambo zenu hapo mwisho wa reli
Sasa si ndio maana tunawaoa yaani tutazunguka kote ila kwa mke ndio mwisho ndio maana nasema yan mwanaume akikuoa ni respect kubwa anakupenda sana huko nje ni tamaa tu za kuonja ladha ni nature inatutesa
 
Acheni kupotosha,

Wapo wanaume wengi wanaishi na mke mmoja vizuri sana tu kwenye jamii bila kuchepuka.

Kuna watu wanaishi kwa kufuata kanuni .

Maisha ya ndoa bila kuchepuka yanawezekana!
Wewe una ushahidi gani juu ya hilo
 
Kwenye ndoa kuna mambo mengi. Usifikiri mwanaume anaamua kutoka tu bila sababu. Ujue huko ndani hakueleweki.

Unakuta mtu amenuna wiki ya kwanza,wiki mbili,mwezi,miezi mi2. Wanawake wengi ndani ya ndoa anajua namna ya kumkomoa mwanaume ni kumnyima.Sasa hapo kama wewe ni mwanaume kweli unawezaje kuendelea kuvumilia?. Hapo ndio chanzo cha wengi kwa mechi za nje.

Pili kuna aina ya wanawake ukifika tu hata mizigo hujatua unakutana na masimango,maneno mia mia. Wewe ukiongea moja kosa,yeye anashusha mia 2. Mwanamke kama huyo mwanaume anajenga hofu nae. Akiendelea kumuogopa hata kumtamani kunaisha,na ksbb ni binadamu lazima atatafuta pa kupozea.

Mwanamke kama na yeye anaona lazima alipize kwa sababu iliyoanzia kwake ni sawa alipize,ila nikijua ndio ndoa imeisha,atakuwa amejisafishia njia.

Wanawake wengi ile haki sawa wameichukulia vibaya,wengi wamejipandisha kuwa juu ya mwanaume il-hali kila kila kitu anamtegemea mwanaume maisha yake yaende. Wengi siku hizi wanadanganyana,wanajua sana hata bila kipimo. Mama zetu walikuwa na heshima kwa waume zao,ndio maana hata ndoa zilidumu. Mwanamke akiwa mnyenyekevu hakuna ndoa ya kukushinda.
 
Mkuu, huyo Dada si mjinga, anahitaji awe na ndoa na familiya yake inayotambulika.

Kwa kuwa amekupenda na kwakuwa na wewe unampenda sana, na kwa kuwa na yeye analijua hilo, Na kwakuwa anajua kinachosababisha yeye hasiwe mkeo ni vitu viwili (1) Mkeo (2) Ukristo, Basi katika mazingira haya bila kujua unaweza kumsababishia mkeo matatizo.

Ni hivi, anaweza kufikia mahali fulani akatumia namna nzuri ya kumuondoa mkeo ambayo haitoacha alama wala mashaka kwamba kaondolewa na mkono wa binadamu hususani yeye (mchepuko) baada ya hapo atalia na kuugua na wewe ( kinafiki) katika wakati huo mgumu utakaokuwa unaupitia,alafu baada ya hapo matokeo yanajulikana ( Kwamba utamtwaa awe mkeo baada ya kifo cha mkeo).
Broo...Dah
Yeye mbona anampenda sanaa mkewangu.Na pia anania njema tangu awali na amekuwa mwelewa sana juu ya maisha ya ndoa yangu.
 
Mm sijaoa Bado ila ukweli nachepuka na mke wa mtu mwenye watot wawili Tena tunakah majiran kbsa nagegeda vzr hata Jana jioni nilichakata pia baaada ya kuja kunipikia huku mumewake akiwa dukani anaendelea na biashara zake
Namuuliza vip Mr anasema bwana ake yule Ni mkorofi na hayuko romantic kbsa kila kitu kwake Ni serious na pia anamatusi, Kajeli dhid yake hvyo mwanamke anakereka Sana kwa kauli zake hzo so anachotafuta Ni faraja kwa upande wa pili

So Kama upo Happ unamtukan mkeo na kumdharau bas acha kwa vile huku mm nachakata tu na ananipa vzr Sana kwa kweli dada huyu anajuwa kunipa vzr Sana na ufundi wa kunyonya mb...o o kwa ustadi
Ayaa kakaaa... Ila nakukumbusha tuu mke wa mtu Sumu asee...
Utakuja chakatwa wewe kwa ustadi mzuri ambao mke wa jamaa anavyo kupa
 
Broo...Dah
Yeye mbona anampenda sanaa mkewangu.Na pia anania njema tangu awali na amekuwa mwelewa sana juu ya maisha ya ndoa yangu.
Mkuu, ni hivi aliingia akijua una mke,hivyo akakubali vigezo na masharti, na huwenda alijua naye anapitisha wakati huku akisubiri yule Mungu aliyempangia ili aanzishe familiya.

Sasa amejikuta kanasa, anakuelewa na bahati nzuri unamuelewa pia,Moyoni mwake hakuna mwanaume mwingine tofauti na wewe. Wakati huohuo kumbuka nia na tamanio lake la kuwa na familiya inayotambulika iko palepale.

Sasa mtu pekee anayeikwamisha ndoto hiyo ni mkeo tu. Niamini anaweza akafanya elimination ya mkeo,na ili mia yake ya kuolewa na wewe itimie hata siku moja hatoonesha kabisa kwamba amfurahii mkeo. Namaanisha hata sasa huo upendo unaousema anao kwa mkeo ni wakutengeneza tu.

Mkuu,ili uwe na mchepuko na husilete madhara kwa mkeo, ni mchepuko husiwe na hakika kwamba kwa vyovyote yeye ndiye mke likimtokea la kitokea mkeo.

Sasa kwa case yako,mahusiano uliyonayo na mchepuko ni makubwa kuliko mke mwenyewe na mchepuko unayajua hayo ni lazima mkeo awe adui wa moyo wake.

Kuna uwezekano mkubwa mchepuko wako ukamuua mkeo.
 
Ulitegemea akuoneshe kuwa anampenda mkeo? Lazima anatamani kuwa kwenye nafasi ya mkeo. Na wengine hadi wanaua wake zenu ili muwaoe wao. Be smart
 
Thank you. Wanafikiri wanawake hatuna wivu; tena sisi ndio tunaongoza kurogana kisa mapenzi.

N
Ulitegemea akuoneshe kuwa anampenda mkeo? Lazima anatamani kuwa kwenye nafasi ya mkeo. Na wengine hadi wanaua wake zenu ili muwaoe wao. Be smart
Kweli nimeichukua hiyo...
Ila kweli natamani siku moja wajuane na wasaidiane...Maana huyu mchepuko ni mjuvi sana wa biashara kubwa hapa jiji la kariakoo.
Mkewangu nae pia ni mfanya biashara tuu mzuri japo mitaji ndo tofauti...
Any way kanuni yangu ni kuwa muda ndo utakao ongea hapo baadae
 
Back
Top Bottom