Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Ni shida sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True...tuelezane ukweli. Ila nyie wanawake hampendi kuelezwa ukweli wengi wenuKinachokera ni uongo
Tena hakikisha pisi kali unayoipelekea moto ni kali kuliko mkeo ili worse comes to worse umeshikwa mke asiweze kuuliza "umekosa nini kwangu" abaki ana apreciate uzuri wa pisi kaliMwanamke na mwanaume tumeumbwa tofauti kwa mambo mengi sana.
Tena huko kwenye hisia ndo hasi na chanya kabisa wala haturandani.
Huo usawa unaoutaka hautakuja kuwepo, we fanya hivyo kwa nafsi yako tu ila kwa wengine hiyo haipo.
Uone pisi kali imeshoboka uaiche kisa nini aisee, we batua kikubwa muheshimu mkeo na wanawake wengi wanaojielewa ndivyo wanavyotaka.
Wanajua unachepuka ila chepuka kwa akili sio usimjari, na kumuonesha mkeo.
Shida ni dharau kwenye huo ukweliTrue...tuelezane ukweli. Ila nyie wanawake hampendi kuelezwa ukweli wengi wenu
Dah mie basi wakipekee yaani mwanamke ambaye namla peke yangu wala hanipi stimu...mie nataka yule ambaye mkikutana mnapeana story ya jinsi alivyonyanduliwa huko na jamaa fulani or how she caught her man cheating...hapo ndio mambo yanakuwa excitingShida ni dharau kwenye huo ukweli
Hakuna mwanaume anaweza kubalance upendo wa wanawake 2
Ataelemea tu upande flani na hapo pataleta vita kubwa
Ndo mana wanaume hamuwezi vumilia kushare
Oa kwanzaDah mie basi wakipekee yaani mwanamke ambaye namla peke yangu wala hanipi stimu...mie nataka yule ambaye mkikutana mnapeana story ya jinsi alivyonyanduliwa huko na jamaa fulani or how she caught her man cheating...hapo ndio mambo yanakuwa exciting
Sasa mbona unaenda kinyume na yale uliosema hapo juu?Oa kwanza
Otherwise uko dunia yako ya ufuska
😃😃 Sasa bahati mbaya kwetu wachepukaji, wengi wetu huchepuka na pisi mbovu kichizi.Tena hakikisha pisi kali unayoipelekea moto ni kali kuliko mkeo ili worse comes to worse umeshikwa mke asiweze kuuliza "umekosa nini kwangu" abaki ana apreciate uzuri wa pisi kali
🤣🤣🤣🤣🤣😃😃 Sasa bahati mbaya kwetu wachepukaji, wengi wetu huchepuka na pisi mbovu kichizi.
Sijui ni tamaa au ni nini mpaka watu wa karibu wanaulizana huyu jamaa niaje.
Ukicheat kwa pisi kali hukamatwi, jiloge kwa beki tatu au pisi mbovu uone unavodakwa chap, kama mzembe na mimba wataidaka hao michepuko.
Sasa kushindwa kubalance nikutokana na mmoja kuwa bora kwa mumewe kwakupitia lugha nzuri na hata ushauri ulio bora na pia kupenda ndugu wa mume...Sio kweli
Kinacholeta husda ni mume kushindwa kupenda watu 2 kwa usawa
Kuna mahali ataelemea tu na hapo lazima kuwepo na vita
Unajitia kupenda 2 ila hujui kubalance
Dah...Wewe kumpenda sio tatizo
Issue unadhani yuko happy kuwa hawara na sio mke??.
Mna utani kweli
By all means have 1 womanDah...
Mi namuachia Mungu...
Mtego huu siwezi chomoka.Litakalo nikuta basii hakuna namna na sita jilaum
Hasira zake zinatokana na nini?Sasa kushindwa kubalance nikutokana na mmoja kuwa bora kwa mumewe kwakupitia lugha nzuri na hata ushauri ulio bora na pia kupenda ndugu wa mume...
Lakin mke huyu yeye ni ghubu na ma hasira walah pendo huwezi balance best
Oa mkeo awe na mahusiano na mwanaume mwingine afu ndio uje kusema hapaSasa mbona unaenda kinyume na yale uliosema hapo juu?
Umesema kuwa mwanaume hawezi kupenda sawa wanawake wawili na kwamba nyie ke hampendi uongo.
Unapo nishauri nioe kwanza sii ni kwamba unataka niwe muongo.
Sii ndio nakwambia kuwa kuoa ni kudanganya maana nitachepuka tuuOa mkeo awe na mahusiano na mwanaume mwingine afu ndio uje kusema hapa
Ni rahisi mana uko kwenye ufuska sio ndoa
Wewe ni mkweli good for youSii ndio nakwambia kuwa kuoa ni kudanganya maana nitachepuka tuu
Hio ni solution kwa waislamu Na kwa wakristo je ?Oa mke ajijue wako 2
Sio kumuaminisha yuko peke yake wkt unamdanganya
Serikali yetu inaruhusu ndoa za Wake wengiHio ni solution kwa waislamu Na kwa wakristo je ?
Embu tuache mzaha sote twajua kwenye jamii ndoa zinazokubalika ni za dini sio serikali na ndio ni nyingi za dini Hujanijibu swali kwa wenye imani ya ukristo je ?Serikali yetu inaruhusu ndoa za Wake wengi