Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leta gazeti hapa.Naitafuta mood ya kuandika mgazeti hapa[emoji1787][emoji1787]
Ila ni sisi tuu jamii yetu ndo tunaishi hivi na wanawake zetu...Hasira zake zinatokana na nini?
Ulioa kichaa tu akaamka na hasira ama umemvuruga?...na husemi hapa?
Kauli nzuri tu ni kwa sababu anajua anapendwa kuliko mwingine ama ni yeye tu jinsi alivyo?
Am respect my wife... I keep secret out of home love...By all means have 1 woman
Ukishindwa kuwa na wa2 and be fair to them na wote wajue..matunzo,status etc
Short of that,misery shall never leave ur home
Never
Ni suala la muda tui
Wala issue sio haki sawaIla ni sisi tuu jamii yetu ndo tunaishi hivi na wanawake zetu...
Maana mwanamke siku zote toka zamani huwa haruhusiwi kumpangia mwanaume wala kumuingilia na ndo maana wanawake wengi waliishi na wanaume na kuolewa bila shida.
Ila sasa kilicho waponza siku hizi nii ya haki sawaa...Mwisho wa siku wanaachika na kujikuta wanalea watoto wenyewe na wengine kuwa wadangaji wakubwa pamoja na wadhifa zao za kazi.
Na hii nikuto kubali kufuata nature ya Mungu kuwa mwanamke utakuwa chini ya mwanaume.
Any way na ndomaana wengi wao wanaishia kuuza uchi na kutumika vibaya kwa kile cha kudai haki sawaa
If u really respected ur wife usingemsalitiAm respect my wife... I keep secret out of home love...
I think i can
Ni wewe tu hujaamua kuishi kile ambacho nafsi yako inaaminiEmbu tuache mzaha sote twajua kwenye jamii ndoa zinazokubalika ni za dini sio serikali na ndio ni nyingi za dini Hujanijibu swali kwa wenye imani ya ukristo je ?
Si umeona mambo yanavyokuwa magumu kwetu
Kuwa na mwanamke mmoja mwanaume ni impossible na kuoa wawili kwa wakristo ni impossible Hapo Sasa ushajua kinachofuata ni nini
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo kuna mmoja lazima matokeo atapata tuHaya kwa mnaobisha. Jaribuni hii kitu. Mwanaume atoke nje akafanye uasherati na mwanamke ampe ujauzito na upande wa pili mwanamke atoke nje akafanye uzinzi na mwanaume hadi apate ujauzito.kisha warudi kimya kimya kila m'moja asimwambie mwenzake lolote.
Then tutajua baada ya miezi michache nani atavunja ndoa ndani ya nyumba na ushahidi wazi wazi kwa ujauzito haramu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kila jambo ni la kuiga. Wanawake mnajidanganya kuwa wanaume mnalingana nao na mnaweza kufanya chochote wanachofanya. Haya endeleeni.
Wataoshinda huu mchezo ni wanawake wanaojielewa na wanaojua nature inakwendaje. Nyie pasua kichwa tuendelee na michezo.
umeua kabisa [emoji419]Unanipa shida kuamini wewe mleta uzi unaweza kuwa jinsia Me. Unaonakana na ulimbukeni na Utamu wa Ndoa yako ya Mwaka mmoja hiyo. Utamaliza Mb zako kutaka kuleta mabadiliko kwenye mambo hayahitaji jitihada zako. We ni mwanamke, Basi kama unaweza kuwa na mchepuko na mumeo asijue kuwa naye usitusumbue.
Unapoanza kuambia wazee wetu walikua malaya malaya ni Ishara za Akili Utoko utoko tu. Tokea enzi hizo manbo ya michepuko yalikuwepo. Fuatilia Habari za Akina suleiman, Daudi, Ibrahimu, Isaka na Wengine alfu uje utuletee utumbo wako. Kama unataka mume wa Pekee yako mgeuze Baba yako awe mumeo huyo ndio nwenye hisia na wewe anaogopa kukuumiza ila mwanaume aliyelelewa na mwanamke mwingine tegemea maumivu.
Kama hujamfuma mumeo na mchepuko basi ni suala la muda wala wala usiliendee papala. Wale unaowaita romodo wako kwamba hawana michepuko jua huyo anademu lake la Siri ambalo linajua terms na Conditions. Wakati mwingine usikute yule rafiki yako kabisa Mumeo anakula. Achana na hayo mambo.
Come on Kate kuchovya ndio nature yenyewe hiyo tunayoishi ambayo nyinyi mnaipingaNi wewe tu hujaamua kuishi kile ambacho nafsi yako inaamini
Na kama ni nature nini kinakushinda kuishi nature yako?.?
Ndoa za Serikali zipo nyingi sema hujaamua tu ama unachoweza ni kuchovya michepuko tu na sio majukumu rasmi
Wanaume tuna onja onja sana TAMAA nyingi..kuna demu flan(mke wa mtu)analiwa na mshkaj wangu na wanapendana balaa huwa tukiwa sehem na muuliza huyo shem wa mchongo kuwa ilikuaje ukajitoa sana kwa mshkaj mpk unamsahau mmeo akasema amekaa kwenye ndoa yake kwa miaka 5 hajawah kumcheat mme wake hata mara moja na hakuwa na wazo hilo ila alipo gundua mme wake anatoka na demu tena wapo jiran akasema hapo ndo uzalendo ulimshinda..alipochepuka one time kwa hasira akakuta hapo alipochepukia pako vzr analelewa na kupendwa kama mtoto na anapelekewa dudu la yuyu vzr akadata mazima na hampendi tena mmewe so haya mambo magumu sana
NB:mke akishtuka kama unachepuka akiwa na hasira juu yako ujue anakupenda na si ajabu hajaanza kuliwa nje ila ukiendelea kuchepuka halafu akagundua tena ila ukaona haja onyesha hasira zake jua teyar keshaanza kuliwa kwahyo anaona ngoma droo haimuumi
Kuchepuka sio dili sema tu wanawake hawasemi ukweli mwanaume ukiwa mchepukaji na mkeo akajua jua tu kuwa umekwisha lazima ke naye atalipiza kisasi pasipo we kujua na siku ukiona ameacha kuumia juu yako kuhusu uzinzi jua Ana michepuko mingi kuliko hata ww.
ha ha ha ha nachekaKuchepuka sio dili sema tu wanawake hawasemi ukweli mwanaume ukiwa mchepukaji na mkeo akajua jua tu kuwa umekwisha lazima ke naye atalipiza kisasi pasipo we kujua na siku ukiona ameacha kuumia juu yako kuhusu uzinzi jua Ana michepuko mingi kuliko hata ww.
Mi sipingiCome on Kate kuchovya ndio nature yenyewe hiyo tunayoishi ambayo nyinyi mnaipinga
Kilichomponza ni kudhani anaweza furahisha wanawake 2Wanaume tuna onja onja sana TAMAA nyingi..kuna demu flan(mke wa mtu)analiwa na mshkaj wangu na wanapendana balaa huwa tukiwa sehem na muuliza huyo shem wa mchongo kuwa ilikuaje ukajitoa sana kwa mshkaj mpk unamsahau mmeo akasema amekaa kwenye ndoa yake kwa miaka 5 hajawah kumcheat mme wake hata mara moja na hakuwa na wazo hilo ila alipo gundua mme wake anatoka na demu tena wapo jiran akasema hapo ndo uzalendo ulimshinda..alipochepuka one time kwa hasira akakuta hapo alipochepukia pako vzr analelewa na kupendwa kama mtoto na anapelekewa dudu la yuyu vzr akadata mazima na hampendi tena mmewe so haya mambo magumu sana
NB:mke akishtuka kama unachepuka akiwa na hasira juu yako ujue anakupenda na si ajabu hajaanza kuliwa nje ila ukiendelea kuchepuka halafu akagundua tena ila ukaona haja onyesha hasira zake jua teyar keshaanza kuliwa kwahyo anaona ngoma droo haimuumi
Siyo wote wakristo mkuu.Kweli kabisaa....kama huwezi kutulia na mwenza mmoja kwenye ndoa....usioe au usiolewa...imeisha hiyoo
We umetumwa kunivuruga nini...???If u really respected ur wife usingemsaliti
Ndo mana ht wewe unapenda asikusaliti
Hio siri ipo siku kitawaka moto
Iwe nyumba kubwa au ndogo
Ni suala la muda tu
We ulishawahi kuwa mke mwenza sehem...???Wala issue sio haki sawa
Mtu kuona uke wenza sio shida ni feminist huyo?..
Issue ni mwanaume hutendi haki kwa hao wanawake wawili afu unajinasibu huwezi kuwa na mmoja
Kumuelewa na kumfurahisha mmoja tu mtihani wawili utaweza?ndo mana ht wewe kunawaka moto
Hutendi haki