Naona suala la michepuko linaonekana ni sawa kwa upande mmoja

Aisee sasa wee kwani mkeo akiwa anagegedwa na njemba wengine kinakuma nini jamani....ebu tuache uchoyo na wivu wakingese wanaume.

Tuwacche wake zetu nao wakaonje utamu wa madushe mengine maana wakati tunawaoa tayari tumewakuta wengi wao wakiwa walishaonja de libolo sio chini ya tano au nasema uongo mawardat ?
 
Unapingana na nature mzee baba.
 
Uwezo wa kuhudumia unao ?
 
Mkuu, huyo Dada si mjinga, anahitaji awe na ndoa na familiya yake inayotambulika.

Kwa kuwa amekupenda na kwakuwa na wewe unampenda sana, na kwa kuwa na yeye analijua hilo, Na kwakuwa anajua kinachosababisha yeye hasiwe mkeo ni vitu viwili (1) Mkeo (2) Ukristo, Basi katika mazingira haya bila kujua unaweza kumsababishia mkeo matatizo.

Ni hivi, anaweza kufikia mahali fulani akatumia namna nzuri ya kumuondoa mkeo ambayo haitoacha alama wala mashaka kwamba kaondolewa na mkono wa binadamu hususani yeye (mchepuko) baada ya hapo atalia na kuugua na wewe ( kinafiki) katika wakati huo mgumu utakaokuwa unaupitia,alafu baada ya hapo matokeo yanajulikana ( Kwamba utamtwaa awe mkeo baada ya kifo cha mkeo).
 
Mzee inajulikana watu wenye haiba yenu mnaupungufu wa nguvu za kiume ndio maana kutwa kucha mnahangaika na kuwatetea wanawake.


Wanaume wenzio sio kwamba hatujui kinacho endelea tunajua vizuri tu. Ila tunafanya hivyo ili kudaidia jamii wa kuonesha urijali wetu.


Kama hata huyo mwanamke mmoja umeshindwa kumnyandua vizuri basi huwezi nielewa....Ila wenzio tunanyandua watoto wa watu Hadi wenyewe wanaomba mapumnziko katikati ya mechi.
 
Watakuja kukupinga, na justification za kijinga kujaribu kuhalalisha

Ila huo ndio ukweli!!!
 
well said Mpwa, MUNGU akupe maisha marefu kwenye hizi ndoa zina mambo mengi sana sana.....
 
Au mumewe hana hela za kurisha michepuko ndo mana katulia
 
Kumbe unamuogopa mkeo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume tambo zenu hapo mwisho wa reli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa km n halali, mbna anaogopa kuwaunganisha, na anaganya, mkewe asijue.
Kumbe wanajua sio halali, ila wanajitoa ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…