Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Wasipolipa fidia hatuondoi matangazoTFF watuambie pesa ya miezi minne ya mabango ya GSM imelipwa!? Timu zipo 14 kila moja inadai 12,000,000. Je zimelipwa au tusubiri kesi ipelekwe mahakamani!?
View attachment 2126371
Ndoa ilifungwa na watoto wakaambiwa hawatakiwi kuuliza habari ya ndoa. Nasikia baba kala uroda miezi zaidi ya minne bila kutoa pesa ya matumizi.Wagawane mali ipi wakati watoto hawamtaki baba wa kambo?
Umefika KikomoUjanja ujanja .com
TFF Haiongelei Malipo Kutoka Kwa Mdhamini FakeNdoa ilifungwa na watoto wakaambiwa hawatakiwi kuuliza habari ya ndoa. Nasikia baba kala uroda miezi zaidi ya minne bila kutoa pesa ya matumizi.
Alikosea Aliweka Ushabiki Akasahau KaziMarket target ilikuwa kwa Simba wavae GSM,
Angefanya kama alivofanya sportpesa,
Marketing Manager wao Haji Manara.πππAlikosea Aliweka Ushabiki Akasahau Kazi
Ndoa ilifungwa na watoto wakaambiwa hawatakiwi kuuliza habari ya ndoa. Nasikia baba kala uroda miezi zaidi ya minne bila kutoa pesa ya matumizi.
Marketing Manager wao Haji Manara.πππ