Naona Toxic kaamua kumtolea uvivu Young Lunya

Naona Toxic kaamua kumtolea uvivu Young Lunya

King faisal

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,077
Reaction score
2,705
Ngoma inaitwa mee

1716406871672.png


 
meeeh 🔥🔥🔥 is the big hit than freestyle session 6 no 2 😂😂
 
Huyo ndio nani tena mbona style na flow yake kama rapcha
 
Rapcha hana flow kama hii hawa ni watu wawili wenye flows mbili tofauti..
 
Huyu jamaa kwa nini asitoe hit song au club banger badala ya kumdiss mbuzi.
Sidhani kama anaweza kutengeneza career kupitia diss tracks!! 😐😐
 
Moja kati ya siku chache za Mimi kuangalia show za redio nimeweka clouds hapa ndo namkuta huyu kijana wa kuitwa TOXIC FUVU muda huu alikuwa anafanya yake.

Anajitahidi kwenye freestyle (naona kamchana Lunya kwenye freestyle).

Kwani wana tatizo au wanachangamsha game?
 
Back
Top Bottom