Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peti man Rasta, Tajiri abbas 😛😛😛, kiukweli sijawahi kuona u 'mbuzi' wa young Lunya ila sio vibaya kujiita mbuzi maana majigambo ni sehemu ya utamaduni wa HipHopRunya hawez battle, wanamuonea tuu,
Ndio mkuu, hiphop ni majigambo ila runya anachofany kwenye mziki wake ni kelele zile, content kuu hua si iyoni..Peti man Rasta, Tajiri abbas 😛😛😛, kiukweli sijawahi kuona u 'mbuzi' wa young Lunya ila sio vibaya kujiita mbuzi maana majigambo ni sehemu ya utamaduni wa HipHop