Peti man Rasta, Tajiri abbas ๐๐๐, kiukweli sijawahi kuona u 'mbuzi' wa young Lunya ila sio vibaya kujiita mbuzi maana majigambo ni sehemu ya utamaduni wa HipHopRunya hawez battle, wanamuonea tuu,
Ndio mkuu, hiphop ni majigambo ila runya anachofany kwenye mziki wake ni kelele zile, content kuu hua si iyoni..Peti man Rasta, Tajiri abbas ๐๐๐, kiukweli sijawahi kuona u 'mbuzi' wa young Lunya ila sio vibaya kujiita mbuzi maana majigambo ni sehemu ya utamaduni wa HipHop