mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Ipo hivi, kuna sehemu nimetoka kununua uwanja almost miezi kama miwili sasa.
Kinachoshangaza na kuanza kuingia na hofu ni hili tukio, kuna sehemu nikifika gari inapungua nguvu automatic na kuzima muda mwingine, mara ya kwanza nikawa na hofu kuwa huenda ni driving yangu mbovu tu na kuzarau eneo, lakini mbona ni tambarare, nimerudi siku ya pili gari ikazingua tena na wakati huo huo pesa ninazokuwa nazo mfukoni zinapungua shilingi elfu kumi tu. Wiki iliyopita nimepita na pikipiki, the same story pikipiki inapungua nguvu hadi gia namba Moja haisukumi na wakati huo huo nilikuwa na kama laki najikuta Nina elfu tisini. Nikaona labda nilijichanganya Jana nimeenda na Lori na nikiwa na milioni Moja nimelipa mafundi nikabakiwa na elfu hamsini tu.
Tumefika pale gari imekosa nguvu na hadi ukipiga kaseja inapata tabu sana, sikuwaza sana kuhusu pesa Leo naamka naona Kuna elfu arobain najiuliza nimetumia wapi sina majibu. Pia nimeona pulling za gari nyingine pale zinasota hatari , nimeona howo linatema hadi unamhurumia
Hakuna kitu naogopa kama ushirikina sababu nahisi utanipelekea kufanya ujinga tu hebu fikiria nikapige magoti kwa mganga wa kienyeji nianze kumueleza shida zangu kwa kweli sitaki kabisa, aniambie kaue ,kamwage dawa ukiwa uchi, kabake, kachije aisee staki.