Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Upumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda kuna madini chiniKinachoshangaza na kuanza kuingia na hofu ni hili tukio, kuna sehemu nikifika gari inapungua nguvu automatic na kuzima muda mwingine, mara ya kwanza nikawa na hofu kuwa huenda ni driving yangu mbovu tu na kuzarau eneo, lakini mbona ni tambarare
Huo mwinuko mkali kumbe una uwezo wa kuchukua elfu 10 mfukoni!Si hadi nifuatile nijue tatizo nini naweza peleka maombi kumbe ni mwinuko mkali ila hauonekani kwa macho, hakika Leo nakwenda na pick up ni manual nione nini kinaenda tokea
Si hadi nifuatile nijue tatizo nini naweza peleka maombi kumbe ni mwinuko mkali ila hauonekani kwa macho, hakika Leo nakwenda na pick up ni manual nione nini kinaenda tokea
Ahaaa, basi sawa mimi iliwahi nikuta Mkuranga huko wale walioniuzia eneo kumbe waliuzia njaa na eneo lao walikua wanalitaka basi nimenunua tu jioni familia nzima ikarudi kwenye kiwanja acha waanze kulia na kugara gara bwana weee kilichonikuta sasa kila nikipanga niende kutembelea kiwanja changu( kama kinaumwa vile au kimenimis😅😅) naghairi nakuwa mzito balaa mpaka siku moja nikafanya maamuzi magumu ingawa moyo mzitooNi hapa hapa jombe
Hivi unaelewa inapungua elfu kumi tuAmini hakuna pesa yake unapotea, ila kwa kuwa ameshajijengea dhana ya ushirikina kichwani, ata-attribute kila kitu huko.
Aweke records za pesa zake vizuri.. Hakuna pesa inavanish tu.
Au la, aende huko bila hela kisha aone kama chochote kitapungua.
Kwa hiyo unataka kusema sijui hesabu Wala sijui matumizi, na kwa nini iwe hivo nikipita tu.hukoAmini hakuna pesa yake unapotea, ila kwa kuwa ameshajijengea dhana ya ushirikina kichwani, ata-attribute kila kitu huko.
Aweke records za pesa zake vizuri.. Hakuna pesa inavanish tu.
Au la, aende huko bila hela kisha aone kama chochote kitapungua.
Nazani umejibu usichokielewa , pesa zinapunguwa na zenyewe nina hofu kweliHamna kitu ni akili yako imependa kufikiri hivyo ukifika eneo hilo automatically inaswitch uwone hivyo ili ubongo na mwili uendelee kupata hizo hisia na kuboost zaidi hiyo imani yako potofu ndio maana inakuwa hivyo na itaendelea hivyo mpaka siku ile utaona ni ujinga kuwaza hivyo na pia ukishaona ni ujinga kuyapa kipaumbele mawazo hayo kichwani basi hutaona tena hivo unavoviona sasa ,ubongo wa binadamu ni wa ajabu sana mwanamke anaweza akawazia ujauzito na ubongo wake ukampa dalili zote za ujauzito hadi tumbo kuwa kubwa halafu mwishowe akajifungua upepo hamna kitu nenda kagoogle pseudocyesis ili kuelewa power ya brain .
Gari zipo nyingi tu mzee wangu , sio zangu nimerithi tu Mali za mzee ,Kwa ujumla una vyombo vingapi vya moto?
Leo nimejaribu kusema kwa wenyeji wa njia Ile nambiwa Pana mambo ya kishirikiana miaka mingi hasa mida ya usiku , nimeshauriwa kubadili njia muda wa usiku nisipite Tena pale nambiwa watu wengi wanajua Hilo mimi na hawapiti na ndio maana sikutani na waenda kwa miguu usiku paleMsinunue viwanja uswahilini
Leo nimewauliza wenyeji wa kwenda kile Kijiji wananiambia Pana mambo ya kishetani sana mida ya usiku, wameniambia nisipite pale usiku na ndio maana siwakuti waenda kwa miguu hiyo mida napita , na nambiwa nikiendelea kupita usiku ntakutana na jambo zito sana, so nabadili njia , nambiwa hapo alipewa mchina afunge kiwanda chake Cha ceiling board ila alikimbia bila kufanya chochote kwa aliyokutana nayoEmbu dadids vizuri ilo eneo hakuna majirani, hakuna kijumba cha udongo maeneo hayo embu nenda kapige hodi upate miiko,kama kuna kazee nenda kabisa na sukari pamoja na unga na vijizawadi tokea mjini, sasa utalipa 10k kila siku kweli
swali kwako cityowil uchawi upo haupo?Amini hakuna pesa yake unapotea, ila kwa kuwa ameshajijengea dhana ya ushirikina kichwani, ata-attribute kila kitu huko.
Aweke records za pesa zake vizuri.. Hakuna pesa inavanish tu.
Au la, aende huko bila hela kisha aone kama chochote kitapungua.
Jibu liko.hapo hapo vizuri some tena utaelewa rudia hata mara sita utaelewa.Nazani umejibu usichokielewa , pesa zinapunguwa na zenyewe nina hofu kweli
Msimamishe Yesu hapo halafu simamisha ghorofa lako hapo na mwisho chimba kaburi la hao wachawi hapo pembeni, maisha yaendelee.Ipo hivi, kuna sehemu nimetoka kununua uwanja almost miezi kama miwili sasa.
Kinachoshangaza na kuanza kuingia na hofu ni hili tukio, kuna sehemu nikifika gari inapungua nguvu automatic na kuzima muda mwingine, mara ya kwanza nikawa na hofu kuwa huenda ni driving yangu mbovu tu na kuzarau eneo, lakini mbona ni tambarare, nimerudi siku ya pili gari ikazingua tena na wakati huo huo pesa ninazokuwa nazo mfukoni zinapungua shilingi elfu kumi tu. Wiki iliyopita nimepita na pikipiki, the same story pikipiki inapungua nguvu hadi gia namba Moja haisukumi na wakati huo huo nilikuwa na kama laki najikuta Nina elfu tisini. Nikaona labda nilijichanganya Jana nimeenda na Lori na nikiwa na milioni Moja nimelipa mafundi nikabakiwa na elfu hamsini tu.
Tumefika pale gari imekosa nguvu na hadi ukipiga kaseja inapata tabu sana, sikuwaza sana kuhusu pesa Leo naamka naona Kuna elfu arobain najiuliza nimetumia wapi sina majibu. Pia nimeona pulling za gari nyingine pale zinasota hatari , nimeona howo linatema hadi unamhurumia
Hakuna kitu naogopa kama ushirikina sababu nahisi utanipelekea kufanya ujinga tu hebu fikiria nikapige magoti kwa mganga wa kienyeji nianze kumueleza shida zangu kwa kweli sitaki kabisa, aniambie kaue ,kamwage dawa ukiwa uchi, kabake, kachije aisee staki.