Naona tukio la kishirikiana waziwazi, hali hii inanitisha sana

Kinachoshangaza na kuanza kuingia na hofu ni hili tukio, kuna sehemu nikifika gari inapungua nguvu automatic na kuzima muda mwingine, mara ya kwanza nikawa na hofu kuwa huenda ni driving yangu mbovu tu na kuzarau eneo, lakini mbona ni tambarare
Huenda kuna madini chini
 
Si hadi nifuatile nijue tatizo nini naweza peleka maombi kumbe ni mwinuko mkali ila hauonekani kwa macho, hakika Leo nakwenda na pick up ni manual nione nini kinaenda tokea
Huo mwinuko mkali kumbe una uwezo wa kuchukua elfu 10 mfukoni!
 
Si hadi nifuatile nijue tatizo nini naweza peleka maombi kumbe ni mwinuko mkali ila hauonekani kwa macho, hakika Leo nakwenda na pick up ni manual nione nini kinaenda tokea

Kwa ujumla una vyombo vingapi vya moto?
 
Ni hapa hapa jombe
Ahaaa, basi sawa mimi iliwahi nikuta Mkuranga huko wale walioniuzia eneo kumbe waliuzia njaa na eneo lao walikua wanalitaka basi nimenunua tu jioni familia nzima ikarudi kwenye kiwanja acha waanze kulia na kugara gara bwana weee kilichonikuta sasa kila nikipanga niende kutembelea kiwanja changu( kama kinaumwa vile au kimenimis😅😅) naghairi nakuwa mzito balaa mpaka siku moja nikafanya maamuzi magumu ingawa moyo mzitoo

Nafika kule ndio kuna kizee kikasema aaaah we mkali kijana mana wale walifanya mambo yao upasahau pale warudi wenyewe🤣🤣🤣🤣 hebu wazia inakuaje mtu anakuuzia kumbe badae na wanae wanakupiga Iskanders sijui ndio Himars la ubongo usahau mali yako

Nb, ninachotaka kusema mambo haya yapo
 
Embu dadids vizuri ilo eneo hakuna majirani, hakuna kijumba cha udongo maeneo hayo embu nenda kapige hodi upate miiko,kama kuna kazee nenda kabisa na sukari pamoja na unga na vijizawadi tokea mjini, sasa utalipa 10k kila siku kweli
 
Amini hakuna pesa yake unapotea, ila kwa kuwa ameshajijengea dhana ya ushirikina kichwani, ata-attribute kila kitu huko.
Aweke records za pesa zake vizuri.. Hakuna pesa inavanish tu.

Au la, aende huko bila hela kisha aone kama chochote kitapungua.
Hivi unaelewa inapungua elfu kumi tu
 
Amini hakuna pesa yake unapotea, ila kwa kuwa ameshajijengea dhana ya ushirikina kichwani, ata-attribute kila kitu huko.
Aweke records za pesa zake vizuri.. Hakuna pesa inavanish tu.

Au la, aende huko bila hela kisha aone kama chochote kitapungua.
Kwa hiyo unataka kusema sijui hesabu Wala sijui matumizi, na kwa nini iwe hivo nikipita tu.huko
 
Nazani umejibu usichokielewa , pesa zinapunguwa na zenyewe nina hofu kweli
 
Msinunue viwanja uswahilini
Leo nimejaribu kusema kwa wenyeji wa njia Ile nambiwa Pana mambo ya kishirikiana miaka mingi hasa mida ya usiku , nimeshauriwa kubadili njia muda wa usiku nisipite Tena pale nambiwa watu wengi wanajua Hilo mimi na hawapiti na ndio maana sikutani na waenda kwa miguu usiku pale
 
Embu dadids vizuri ilo eneo hakuna majirani, hakuna kijumba cha udongo maeneo hayo embu nenda kapige hodi upate miiko,kama kuna kazee nenda kabisa na sukari pamoja na unga na vijizawadi tokea mjini, sasa utalipa 10k kila siku kweli
Leo nimewauliza wenyeji wa kwenda kile Kijiji wananiambia Pana mambo ya kishetani sana mida ya usiku, wameniambia nisipite pale usiku na ndio maana siwakuti waenda kwa miguu hiyo mida napita , na nambiwa nikiendelea kupita usiku ntakutana na jambo zito sana, so nabadili njia , nambiwa hapo alipewa mchina afunge kiwanda chake Cha ceiling board ila alikimbia bila kufanya chochote kwa aliyokutana nayo
 
Amini hakuna pesa yake unapotea, ila kwa kuwa ameshajijengea dhana ya ushirikina kichwani, ata-attribute kila kitu huko.
Aweke records za pesa zake vizuri.. Hakuna pesa inavanish tu.

Au la, aende huko bila hela kisha aone kama chochote kitapungua.
swali kwako cityowil uchawi upo haupo?
 
Msimamishe Yesu hapo halafu simamisha ghorofa lako hapo na mwisho chimba kaburi la hao wachawi hapo pembeni, maisha yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…