Naona wa mitano tena wamekata pumzi vipi kuna nini?

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Naona wale waimba mapambio wa mitano tena wamekata pumnzi,vipi wachambuzi wa mambo wataimili mpaka October?au ndiyo wameanza kuingia mitini mmojammoja
 
Wapo wanavyoza vimiminika wapate nguvu
 
Sasa kama uchaguzi Mkuu unayeyuka,

Mitano itoke wapi?
 
Back
Top Bottom