James_patrick_
Senior Member
- Mar 20, 2017
- 102
- 194
Tokea hili jukwaa lianzishwe nimejaribu kuomba kazi sana humu ya udereva wa magari makubwa na madogo lakini atakupokea simu moja tu hakuna! Kuna mda naona waajiri awaingii humu. Tupo wenyewe tu tunapeana moyo tu maskini dah!
embu tuambie umepatajepataje humu jf watu hawatoi kazi wanatuangalia tuuWaminifu wa mambo ya kazi Wapo mzee, mimi leo nimepata kazi ingine kupitia humuhumu JF.
mkuu wewe elewa humu connection zipo, kuna watu wazuri na wema wengi tu humu.embu tuambie umepatajepataje humu jf watu hawatoi kazi wanatuangalia tuu
Tuwasiliane basi ndugu 0655778100Zamani za kale mtu anakuomba kazi unampatia na anafanya vizuri sana.
Sasa hivi mtu ni lazima ajulikane na aletwe na mtu anayejulikana na mwenye kuthaminika na mwajiri mwenyewe.
Mtu anakuja kwa unyenyekevu kuomba kazi hasa kazi za Taasisi Binafsi, kumbe huyo mtu ni Jambazi au Gaidi, au Mwizi au Mchawi.
Matokeo yake atampa hasara kubwa mwenye Taasisi au Kampuni husika.
Pata fani yako kuwa mwaminifu katika kazi yako, watu watakuona na kukuunganishia kazi hata kama hujaitafuta.
Mala nyingi bosi akinunua Maroli mapya huwa ananiagiza
"Lete Mtembezaji Sasa"
Akimaanisha Dereva Mwaminifu na Mahiri.
Humu niliomba kazi sana nikapata maramoja tu ila kazi siku moja nilikimbia asie ila mimi richa ya kuwa jobless nishawapa connection watu wawili kazi humu japo hazikuwa za maana sana.embu tuambie umepatajepataje humu jf watu hawatoi kazi wanatuangalia tuu
Humu niliomba kazi sana nikapata maramoja tu ila kazi siku moja nilikimbia asie ila mimi richa ya kuwa jobless nishawapa connection watu wawili kazi humu japo hazikuwa za maana sana.
Nilichojifunza mabosi ngumu sana kuingia humu na kutoa kazi sisi wenyewe Jobless ndio tunaweza penna Connection kwenye zile kazi tunazofanya na upenyo tunaouona.
Mimi nilifanya interview sehemu moja Mikocheni bado wakawa wanahitaji watu nikampa mtu connection akapata, nilippkuwa nafanya kazi sehemu moja nilimpa mtu connection tukawa wote.
Jobless tukifanya kama hivi hii