Wamejaribu kutumia kila kete kunusulu ulaji wao lakini wapi! Mama Yuko strong kwenye uwekezaji Huwa hayumbishwi kabisa.
Wamejaribu kumtumi Shivji akahit lkini upepo umeshakata.
Wamemtumi slaa naye kaenda na maji.
Wamewatumia lisu na viongozi wa dini hasa zile dini kubwa zinazopitisha magendo au bidhaa bandarini free of charge lakini nao hawajaambulia kitu.
Mama shukila hapohapo wale influencers wao wanadondoka mmoja baada ya mwingine.
Ninachompendea mama, demokrasia imeshamili sana kiasi ambacho akina lisu wanamtukana lakini wanapewa ulinzi wa polisi kwenye mikutano Yao ingekuwa enzi zile za jpm angeshakufa mtu tayari.