Sure. Mama apewe maua yake anapambana na watu wenye pesa sana. Kuna jamaa mmoja wa TRA amesema watapambana sana mpaka tone la mwishoYaani anapambana nawengi kweli.
Kuanzia TRA hadi walinzi wa bandarini ๐ป๐ป
Nani kauwawa? Acha uzushi.Mbona huu ni mwanzo tu .
Mtaua wengi sana awamu hii.
Hiki siyo kipindi Cha jpm ambaye alikuwa anaua kila anayedhani ni threat kwake. We si unaona rais anatukanwa na kila kichaa lakini hafanywi lolote. Mama mkomavu siyo lile jamaa kishamba la chatoMbona huu ni mwanzo tu .
Mtaua wengi sana awamu hii.
Nilijua tu lazima uje kwenye huu uzi,Kijana tafuta kazi,upigaji bandarini itakua historia.Mbona unajipa moyo kama mtoto mdogo? Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Mama anatukanwa hadi na Wakenya huko Twitter, tena matusi ya nguoni, lakini kawapuuza.Hiki siyo kipindi Cha jpm ambaye alikuwa anaua kila anayedhani ni threat kwake. We si unaona rais anatukanwa na kila kichaa lakini hafanywi lolote. Mama mkomavu siyo lile jamaa kishamba la chato
Zilipendwa. Huu wimbo wa kuuza bandari umeshachuja tafuteni mwingineKwa hali ilivyo nakubali kabisa mwanamke ni mwanamke tu, kazi yake ni kupika ugali na kuogesha watoto, inawezekana ameuza bandari hela wamechukua kina kitilo makumbo na madellu pasi ye kupata chochote.
๐น๐น๐๐Sure. Mama apewe maua yake anapambana na watu wenye pesa sana. Kuna jamaa mmoja wa TRA amesema watapambana sana mpaka tone la mwisho
Ukishughulika na kila anayekubwekea njiani,utachelewa safari yako.Mama anatukanwa hadi na Wakenya huko Twitter tena matusi ya nguoni lakini kawapuuza
Huo ukomavu wa kisiasa sijawahi kuuona kwa kiongozi yeyote wa Bara hili la Waafrika.
Mimi sio chawa ila hapo Kudos Samia.
Nyimbo ya kuuza bandari imeshachuja ilikuwa nyimbo ya kumchafulia image tu ila wananchi eameshajua ukweliHumtakii mema huyo mamako. Ngoja akaze shingo awajue wenye nchi.
Bandari haiuzwi
Ni kweli Kabisa Bandari haiuzwi na hatutaki iuzweHumtakii mema huyo mamako. Ngoja akaze shingo awajue wenye nchi.
Bandari haiuzwi