Nikuambie tu Hakuna kipindi nchi hii kumekua na ajira nyingi kama awamu hiinaona wote wanapiga tu chenga watuambie sisi vijana tunapataje ajira au tunajiajirije
wakati mikopo kwa ujasiriamali kupata vigezo ni vingi pia riba kubwa
watuambie wananchi wa kipato cha chini wanaishije
watuambie kusu afya na mazingira rafiki ya kibiashara yako wapi
si kutupa shuhuda za kupigwa risasi
au shuhuda za kuongeza ndege na kuzunguka na wasani
tumechoka shuhuda za maneno mengi wenye vyeo washibe maskini walie
we are tired
hawo ni vibarua na sio ajira za kudumuuu mkuu tofautisha panga na kisuNikuambie tu Hakuna kipindi nchi hii kumekua na ajira nyingi kama awamu hii
Tanzania nzima kwa sasa Hakuna wilaya isio na mradi mkubwa wa serikali iwe ni wa barabara, madaraja makubwa, reli, umeme vijijini, miradi mikubwa ya maji, ujenzi wa bandari, ujenzi wa vivuko na meli, ujenzi wa majengo makubwa ya serikali/binafsi na viwanda vipya vingi
Hizi sector zimetoa ajira kubwa sana nchini na kiwango cha chini kabisa unskilled labor kwenye hii miradi niliotaja analipwa 400k kwa mwezi.
Ndio lakini katika hii miradi mingi ni ya kuanzia miaka mi3 kuendelea, bado ni mda mrefu kufikia malengo yako hasa ukizingatia serikali kwenye hii miradi inasimamia sana maslahi ya watanzania, kwa hiyo miaka mitatu kuendelea hata ukija kupokea mafao yako NSSF bado haitakua sawa na burehawo ni vibarua na sio ajira za kudumuuu mkuu tofautisha panga na kisu