Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
AahaaaMioyo ya wanasimba yaenda mbio kama baiskeli iliyokatika breki
Mbona wamekuwa wakifanya haya makafara sana.Mpaka unaona wamekimbilia kutoa Masada kwa yatima ujue ngoma imekuwa ngumu kwao, walikuwa wanatufunga bila kusaidia yatima kwa sababu walikuwa wanapewa ishu zetu, ngoma imebadilika mganga wao kawaambia njia pekee ya kujinusuru na kuwasaidia watoto yatima.
Kesho ima faima łazima heshima irudi ili mjue kuwa sisi hatuna utani na ujinga wa namna hiyo.
Kila la heri mnyama
SadakaKafara
Utoto raha sana.Mpaka unaona wamekimbilia kutoa Masada kwa yatima ujue ngoma imekuwa ngumu kwao, walikuwa wanatufunga bila kusaidia yatima kwa sababu walikuwa wanapewa ishu zetu, ngoma imebadilika mganga wao kawaambia njia pekee ya kujinusuru na kuwasaidia watoto yatima.
Kesho ima faima łazima heshima irudi ili mjue kuwa sisi hatuna utani na ujinga wa namna hiyo.
Kila la heri mnyama
Simba kelele nyingiiii kama nzi wa chooni ,utadhani ana ujuzi wa kuzalisha walau nta ama masega wachilia mbali asaliMpaka unaona wamekimbilia kutoa Masada kwa yatima ujue ngoma imekuwa ngumu kwao, walikuwa wanatufunga bila kusaidia yatima kwa sababu walikuwa wanapewa ishu zetu, ngoma imebadilika mganga wao kawaambia njia pekee ya kujinusuru na kuwasaidia watoto yatima.
Kesho ima faima łazima heshima irudi ili mjue kuwa sisi hatuna utani na ujinga wa namna hiyo.
Kila la heri mnyama
Simba hata wachezeshwe wote 24 na benchi lao la ufundi kwa pamoja,tutawanyandua tu! Badae watakuja kujifariji kwamba walibakwa ila kwa mbinde.Yule Boka hata acheze peke yake Simba mnakufa tu..
Nyie Simba mtakuwa na akili lini, mnawaza uchawi muda wote. Jitu zima linabeza watu kutoa msaada kwa wahitaji. Mipira inafanya watu kuwa wajinga kiasi hiki.Mpaka unaona wamekimbilia kutoa Masada kwa yatima ujue ngoma imekuwa ngumu kwao, walikuwa wanatufunga bila kusaidia yatima kwa sababu walikuwa wanapewa ishu zetu, ngoma imebadilika mganga wao kawaambia njia pekee ya kujinusuru na kuwasaidia watoto yatima.
Kesho ima faima łazima heshima irudi ili mjue kuwa sisi hatuna utani na ujinga wa namna hiyo.
Kila la heri mnyama
sio kweli!wamekua na utamaduni huo mwaka wa nne sasa!!Mpaka unaona wamekimbilia kutoa Masada kwa yatima ujue ngoma imekuwa ngumu kwao, walikuwa wanatufunga bila kusaidia yatima kwa sababu walikuwa wanapewa ishu zetu, ngoma imebadilika mganga wao kawaambia njia pekee ya kujinusuru na kuwasaidia watoto yatima.
Kesho ima faima łazima heshima irudi ili mjue kuwa sisi hatuna utani na ujinga wa namna hiyo.
Kila la heri mnyama
HahahahaMioyo ya wanasimba yaenda mbio kama baiskeli iliyokatika breki
Na mwambie pia kuwa Mganga wao Mkuu na Hatari ni Mjomba kabisa wa Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu.Mbona wamekuwa wakifanya haya makafara sana.