Naona Yanga wamekimbilia kwa watoto yatima kujinusuru na Kimbunga Ateba kesho

Mpaka unaona wamekimbilia kutoa Masada kwa yatima ujue ngoma imekuwa ngumu kwao, walikuwa wanatufunga bila kusaidia yatima kwa sababu walikuwa wanapewa ishu zetu, ngoma imebadilika mganga wao kawaambia njia pekee ya kujinusuru na kuwasaidia watoto yatima.

Kesho ima faima łazima heshima irudi ili mjue kuwa sisi hatuna utani na ujinga wa namna hiyo.

Kila la heri mnyama
Ikawaje sasa wenzetu Mikia FC.
 
Hii ilikuwa ni tarehe 18/10/2024, siku moja kabla ya mechi ambayo mliendeleza uteja siyo!!!
 
Back
Top Bottom